Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza tusi kisha kachukue kinywaji upendacho, wananchi watalipia.Pumbavu zako
jibu sasa gentamycineOngeza tusi kisha kachukue kinywaji upendacho, wananchi watalipia.
Vipi unajisikiaje huko uliko?Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Eti akili kubwa hahaaaaaaa hv ina ukubwa gani vile mtateseka sanaKwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Jinga sana hili jamaaEti akili kubwa hahaaaaaaa hv ina ukubwa gani vile mtateseka sana
Absolutely Yanga sending sleepless nights to Bush men hahaaaaaaa what a night what a goal
Popoma! Unajisikiaje!!Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Kaone na haka nako! Na kenyewe kanajifunza eti kuwa kapopoma ka kike! Hovyo kabisa.Ni kweli anashinda njaa
Wacha wewe!!uko kama mimi kabisa unafiki pembeni sema ukweli kabisa Yanga lazima anyee ndoo
Lini aliwahi kuheshimika huyo! Hebu fikiria kila mtu humu jukwaani anamuita popoma! Imagine ana file lake kabisa kule Mirembe mental hospital Dodoma!Hili swala linakushushia heshima
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lini aliwahi kuheshimika huyo! Hebu fikiria kila mtu humu jukwaani anamuita popoma! Imagine ana file lake kabisa kule Mirembe mental hospital Dodoma!
Japo ni kolo na ulikua unapiga jungu ila kauli yako imejieleza ukweliYanga uwezo wa kushinda ugenini wanao hivyo tusiwabeze, wanaweza ibuka kidedea. Kwani mmesahau yanga walishida ugenini mabao 4 dhidi ya zalan fc?