Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
# GENTAMYCINE ni mtu mkweli na anayeona mbali sana tuzidi kumwamini maana anasema yanga ni kama imeshatolewa hakika huyu ni mkweli kichwa nazi
 
IMG_0866.jpg
 
Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Rudia tena na uongeze sauti
 
Bado una maoni yoyote ?
 
Hivi wewe huoni aibu tuu? Kila siku ramli zako zinagaragazwa hapa lakini umo tu.
 
MTANI BORA UNGEKAA KIMYA

Back
Top Bottom