Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutachambwa hadi tukome. Ngoja nimpe house girl maelekezo vizuri, niendelee kusoma uzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]teyna [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!!
 
Pole kwa changamoto ya ndoa, ushauri wangu kabla ya kuoa tuwe tunachunguza kidogo background ya mke mtarajiwa kwa maana ya malezi na namna alivyokuwa
 
Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
Hapana. ......ni kwamba Corporate women wengi hawapo kwa ajili ya kuolewa... sana sana ukiona yupo kwenye ndoa basi yeye ndiye mwenye uwezo financially kupita mumewe au mume ameamua kuyapuuzia mambo anayopaswa kufanyiwa na mke......Mbona sasa hivi nimeoa mke ambaye yupo bize na kazi zake lakini anakumbuka kama ana mme kila anapopata nafasi ....na kuna vitu vinavyonihusu ambavyo kamwe haruhusu vifanywe na housegirl......ni kujitambua tu.....acheni uhuni wenu
 
Hahaha... Unajua hizi mambo zinaendana na saikolojia. Sasa kama mtu anakuvuruga muda wote hata K yake utaiona ya kawaida tu.
Jitahidi asikuvuruge, usikubali kufikia hatua hiyo.
 
Wataolewa wa makazini sana tu, na spana za kutosha watachezea..tena spana malaya! Hatutaki ujinga sisi, kwani Mungu alisemaje eti, sisi ni vichwa, kichwa gani kikasonga ugali na kuanza kutoa makamasi jikoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaonaje badala ya kuhangaika na wanawake wa kazini wanawapasua vichwa hadi mnachanganyikwa,kwanini msioe tu wale majobless ili muwatumikishe mtakavyo na muishi bila kufanya kazi yoyote nyumbani kama walemavu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]teyna [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!!
Asije akakosea, awe serious na kazi yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnaonaje badala ya kuhangaika na wanawake wa kazini wanawapasua vichwa hadi mnachanganyikwa,kwanini msioe tu wale majobless ili muwatumikishe mtakavyo na muishi bila kufanya kazi yoyote nyumbani kama walemavu!
Kuna wanawake wanafanya kazi nzuri tu ila wameolewa na wanawaheshimu waume wao.

Ninafirikiri utushauri tuoe wanawake wanaojitambua - Haijalishi wameenda shule au la, wafanyakazi au la.
 
Uko sahihi...mimi nilifikia kumwambia kwamba its okay kila kitu afanye houseirl lakini yeye afanye finishing tu ...yaani hata anipakulie tu chakula, au anipangie vizuri nguo zangu ambazo zimeshafuliwa lakini tuliendelea kubishana....
Huyo alikuwa jipu tayari
 
Kuna wanawake wanafanya kazi nzuri tu ila wameolewa na wanawaheshimu waume wao.

Ninafirikiri utushauri tuoe wanawake wanaojitambua - Haijalishi wameenda shule au la, wafanyakazi au la.
Hapa hatuzungumzii heshima mkuu.

Tunazungumzia majukumu na kazi za nyumbani kwa wanandoa ambao wote wanaenda kazini na wote wanarudi nyumbani usiku huku kila mmoja akiwa na mwili wa nyama na amechoka.
 
Uko sahihi...mimi nilifikia kumwambia kwamba its okay kila kitu afanye houseirl lakini yeye afanye finishing tu ...yaani hata anipakulie tu chakula, au anipangie vizuri nguo zangu ambazo zimeshafuliwa lakini tuliendelea kubishana....
Wewe huwezi kukunja mkuu?
 
Kuchokana ni balaa zito aisee! Mkishaishi kwa kipindi kirefu boredom haikwepeki ila dah ni ngumu.

If you do it except siku ambazo unakuwa umetaitika hilo halina shida! Sio mwanamke anaji ommit kwenye majukumu kabisa yani yeye ni 0 grazing tu!

Hilo hapana ni tatizo! Kwa unavyosema wewe iko sawa hata mie siwezi kukumaindi tena ntakuwa nakupa tuff kabisa sababu hutegei ila unakuwa super tight!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…