Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sasa hadi nipike kiive hiyo nguvu ya game naitoa wapi tena? Bora ule tu chipsi nguvu ziishe ili nikusimange vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo lipo kwako kwani kabla huja muoa si mlipitia kwenye uchumba na kama hamja pitia kwenye uchumba mwanamke hana makosa wewe ndiyo mwenye makosa umeshindwa kutumia akili zote ulizo na nazo akili ya shule alikili ya kuzaliwa na akili ya mtaani hizi zote umeshindwa kuzitumia, tatizo lako wewe Una mfundisha mkeo kwa kutumia nguvu badala ya akili
 
Duh! Kwa hiyo jamaa kaoa ila anapika, kufua na kusafisha nyumba??
Yeye mfanyabiashara akirudi anaoika na watoto wake. Mkewe akiwepo anaweza anza pika au akatoa nguo akaziloweka akaenda nje kuzungumza ndo ntolee hiyo kama nguo ndo zitakaa wiki kwenye maji kama alikuwa anapka itagonga saa nane hajarudi ndani yuko nje anapiga story.
Sema wanakuwaga na dada wa kazi ila asipokuwepo jamaa anafanya yake. Ashazoea hivyo.
 
Kaka umetoa mifano inayo vumilika sababu haivunji heshima ya uanaume wako. Mwanamke anaye fanya kazi huwa anajiona sawa na wewe tu. Sisi tunasema Mafahari wawili hawaishi kwenye zizi moja.

Hapa tatizo ni wewe. Kazai zai kipo kwa hawa watafutaji riziki.
 
Asante mkuu. Una akili sana!! Ama utakuwa mchawi. Umejuaje kuwa huwa nanyanyua chuma kumfundisha?
 
Hahahaha chakula kikiungua utakula vitasa

Ingia jikoni mwenyewe mama mjengo acha ngendembwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakula aunguze mwingine, vitasa nile mimi kweli? Nakupeleka dawati la jinsia, ole wako[emoji1787][emoji1787]
Khaaah tutafika mbinguni hoiii nanyi mtafika motoni mmechoka sana nyie watu!!!
 
Kwa mtu asie jua ndoa anaongea atakavyo ila kwa sisi tulioko ndani ya ndoa tunajua kwamba hapa ndipo Kuna Mungu na Kuna Shetani pia .kiufupi Peponi na Jehanamu vinaanzia kwenye ndoa.
 
Kasome mada upya - kujisikia ulikosea kuaoa/kuolewa na uliye naye. Inahusu maoni ya mwenye kuoa ama kuolewa.
 
Kwa shangazi[emoji2]
Sio unipeleke shule ya mapishi tu to cut the story short, na nilivyo slow learner nitaelewa baada ya miaka mitano, by the time ushazoea[emoji6][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya miaka 13 ndo nilijua nimekosea, bado sana Ndugu! Ndoa ni Jambo gumu sana, huwezi elewa!
Vijana wengi hawajui vigezo vya kuchagua wake wa kuoa au wanaume wa kuolewa nao.

Wanawake wengi wa siku hizi wametengenezewa fikra mgando za kumona adui wao wa kwanza ni mwanaume,kwahiyo wanaamua kushindana nae kwa kila kitu.
 
I understand you hivo vitu vidogo dogo huua ladha ya mahusiano kabisa imagine kumuelekeza mtu mzima huwa inachosha, angalia asiwaambukize watoto ujinga maana wataalamu husema watoto hurithi akili za mama
Sasa bibie kama unaona hivyo vidogo vidogo vina uwa ladha ya mahusiano vipi hili kubwa la Mwanamke kutopika au kutompikia mumewe ?
 
Sio kweli, elimu na viajira huwa wanawake jeuri. Hata mtoa mada kaliweka vema kua alimsomesha akamtaftia kazi ndio janamke likaota mapembe.
Amebadili gia angani tu ila mwanzo alivyoanza haikua hivyo. Wapo wasomi wengi tu wasio na hizo tabia na wasio wasomi wenye hizo tabia. Nenda vijijin ambako shule hakuna kama hutokuta wanawake wenye hizo tabia.
 
Kwa hiyo unafikiri umekuja na kitu kipya? mbona talaka zimekuwepo enzi na enzi?
Nimesoma nikaelewa ndiyo maana nikachangia. Hapi nimejaribu kukuonyesha kuwa unaweza kumchuka mtu kimakosa na ukampenda mtu pia kimakosa.
 
Kwa hiyo unafikiri umekuja na kitu kipya? mbona talaka zimekuwepo enzi na enzi?
Sababu kuna makosa yanastahiki Mwanamke kupewa Talaka ila kuna makosa hayastahiki kumpa Mwanamke Talaka ila watu kwa ujinga wao wanawaoa kwayo Wanawake Talaka.
 
Vipi na nyie mmeshakua wanawake au bado mnajishindanisha na wanaume ?! Na nyie mtakua wanamake na mfanye majukumu ya mwanamke au mtaendelea kua midumejike ?!
Sisi tunacheza tu mziki mnaopiga. Mkitaka tubadili steps basi badilini muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…