Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wanandoa wengi siku hizi wanachukuliana kama competitors badala ya partners.
 
Nimependa hiyo para ya mwanzo. Kuna tabia ni za asili za mtu hawez zibadilisha kamwe. Zimeshakua ndio ngozi yake.
 
Mkuu pesa ipo lakini?
 
Mostly hat kama mwanamke ana kipato bills zote wanaume ndio wanakava

Pesa ya mwanamke huwa haijulikani wapi inaendaga.

Sasa yaani nikave bills na pia nijiwekee maji mwenyewe[emoji15][emoji849] na kujiipika halafu wewe upo tu
Yeah! Ukimfanyia hivyo anakuona upo romantic, gentlemen na maneno mengine ya kilaghai kama hayo. 😁
 
Mleta Mada kosa lako ni kumbutua mara kwa mara ndio ukazidi kumtia ujeuri na usugu wa kuzoea vipigo!

Kwani wewe asili, jadi na chimbuko lako ni wapi?

Je kule kwa wale jamaa wenye mikono myepesi ya kupiga wanawake?

Be gentleman bana!

Akikushinda tabia muache kama ulivyomuacha.

Mbona inawezekana kufanya maamuzi ya kuachana bila kumpiga?!
 
Hao wanaomtetea ni wale walioshindwa kudumu kwenye ndoa zao kwa tabia zao, au hawaoleki kabisa.

Na ukiona mwanamke analilia usawa kwenye ndoa bila kujali majukumu yake ujue anatoka kwenye familia ya hovyo sana, either kalelewa na bibi au familia yenye mama tu (ambaye aliachika kwa babake).
 
Halafu ni vile tu kuwa msemapweke hakosi haki lakini ukute na wewe umechangia kuachana kwenu kwa kiasi kikubwa sana.

Yamkini huyo mtalaka wako naye tungepata nafasi ya kumsikiliza tungesikia mengi ya kushangaza zidi yako [emoji108]
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
[emoji626][emoji626][emoji626][emoji626][emoji626]
 
Kwa taarifa yako mmomonyoko wa maadili ulianzia huko ulaya

Kila uchafu na takataka unazoziona huku afrika vilianzia huko ulaya unakokusifia.


Kwenye suala la maadili ya kufamilia africa was the best on it .
Yeye kila kiletwacho na wazungu anakibeba kama kilivyo, na anajisifia kabisa hapa.
 
Etiii kumdunga mangumi ndo kuishi nae kiakili [emoji23][emoji23][emoji23]nipe namba yake nikufundishe kumbadilisha
Mkuu akikupa namba yake usiwe mchoyo kunipa hiyo namba mkuu.

Wengine tunahitaji corporate ladies kama hao Wengine wanawaona hawafai. Walimwengu ni watu wa ajabu sana.
 
Yeah! Ukimfanyia hivyo anakuona upo romantic, gentlemen na maneno mengine ya kilaghai kama hayo. 😁
Huo ujinga wanaweza Pety men , sisi tunaotambua nafasi zetu hatuwezi kuwa sawa na mwanamke katika level ya kifamilia.

Pesa yake usiione, bills zote unavover wewe, alafu na kazi za nyumbani ujifanyie mwenyewe na malezi yawe ni kazi ya mdada wa kazi? Kwahiyo yéyé kaja kwangu kuni-offer hilo shimo? Sasa si bora ijulikane tu kwamba sina Mwanamke ndani , maana nikitaka mwanamke wa kulala nae siwezi kosa na pengine akawa classic kuliko hâta yéyé.

Huwa nachukia sana kuona mwanaume anakuwa dhaifu kwa mwanamke, sijui wengine wameumbwaje tu.
 
Kwani kupika ni dhambi yeye apike ka anataka na anajiskia kufanya hivo no problem at all, Yani awe anaskia njaa na vitu viko afe njaa akisubiria mtu amfanyie, na ka amechoka ale huko huko ashibe Cha kufia nini?
Sasa si asingeoa tu ikajulikana.
 
Anajimekapu na kuvaa madera kwenda kwenye vikoba

Wakati jamaa mwenye mke kakalia kibao cha mbuzi korodani ziko nje anakuna nazi.[emoji1787]

Huyo ndio jentomeni corporate ladies wanemtaka[emoji1787][emoji1787]
Wanaume tunaisha kwa kasi sana. Huu utandawazi na uzungu uliopitiliza ni tatizo, ni saratani.
 
Nimependa hiyo para ya mwanzo. Kuna tabia ni za asili za mtu hawez zibadilisha kamwe. Zimeshakua ndio ngozi yake.
Kosa kubwa huwa lipo kwenye tabia za asili za wanawake ambao tuna chagua, na wengine unakuta wameziona kabisa ila kwakua amevutiwa na sura na tako anaamua kumuweka ndani akiamini kuwa atambadilisha😂. Na hili linaletwa na udhaifu wa wanaume kwa kuona kwamba akimuacha huyu hawezi pata mwingine.

Guys hivi kuna mtu wa kumbadilusha tabia mwanamke wa kileo? Uchoyo, Ulevi, Umalaya, Ushirikina, tamaa ya maisha mazuri hivi hizi ni tabia za kuzibadilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…