Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?
 
Kumbadilisha mtu mzima Ni kazi na swez kupoteza mda kufanya hvo.
Kwa nn nilazimishe kukaa na mtu ambae naona chemistry zinakataa.
Kumbuka hayo si mahusiano mapya.

So hayakuanza ghafla.

Labda utueleze ilikuwaje ukaanza kujisikia inferior.
 
Hawa viumbe pasua kichwa, mbaya zaidi awe na kashule yaani wewe ankuzidi hiii utadeki mpaka nyumba.
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
[emoji28][emoji28]..hii comment nimecheka sn asee

Watu mnapitia magumu sn .Mkuu pole sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ndoa yako haiwezi vunjika sababu umejua jinsi ya kuishi na mwanamke wa hiki kizazi cha dotcom. Yani kuna vitu ni very irrelevant kwenye ndoa wanaume wanakazania wafanyiwe ilihali havina tija. Ungekua hujaoa ningekupa hata mdogo wangu maana asingeteseka na hawa wa kutaka kuabudiwa[emoji1787][emoji1787].
 
Mkuu ilikuwaje ukaoa mke kilaza namna hio au ndio mlikutania KFC 😅🤭🤣 penzi likachipua? Au ndio zile connection za dada yangu hana mtu nikuunge nae😅
 
Hahahahahah ni irrelevant ila ndio vinanogesha ndoa! Hayo unayoita irrelevant ndio yanfanywa na nyumba ndogo ili kutukamata vizuri sababu hamna mwanaume ambaye hapendi kuwa caressed! Tatizo watoto wa dotcom mnahisi kuishi na waume ni kuwafanyia favours yani sababu mnapenda kuitwa mke ila majukumu yanayoambatana na kuwa mke wa fulani hamyataki!

Mke anayekuhudumia kwa hali na mali ndiye anayetengeneza nafasi ya kuwa mtu special zaidi kwenye maisha yako na hata muda wote unamiss na anakuwa akilini mwako. Yani mke akisafiri lazma u feel tofauti sio mke akiwepo na asipokuwepo hamna difference. Inaboa sana!

Wanaume understanding tupo tutaignore baadhi ya vitu ila kuna watu kwao inakuwa ni kama dharau flani! Hakusemeshi ila atatafta anakokuwa treated right.
 
Pole sana Mkuu.Nikupongeza kwa kudumu na mkeo ingawa ana Kasoro kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…