Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Hivi ni kwanini 75% ya Watoto wa Kishua au Waliozaliwa na Washua au Waishio Ushuani hasa Wavulana / Wanaume huwa au huja kuwa Mashoga?
 

Gangilonga uko uko kuna kipindi msiba ulikuwa unapewa kadi ndio uwende hii nilishuhudia kwa macho yangu jirani yetu alipo pata msiba

Kwaza usikii watu wakilia unasikia mziki uwoni watu wanaingia ovyo ovyo zaid ya magari tu
 

Na hata on za magari ilikuwa ni marufuku kipiga on kwa kisingizio wengine ni wagonjwa nilijua utani kipindi tuna hamia hapo ndio tulikuwa tuna pewa maelekezo

Hila pole kule
 
UKISHUA lina maana pana linategemea mazingira na mtazamo wa mtu. Kwa wewe umeona nyumba, magari na chakula cha kila aina ndo ukishua

Miaka ya early 90's mtoto wa Temeke alipoenda Sinza alikuwa anawaita watoto wa Sinza wa kishua

Mtoto wa Sinza akienda Upanga anawaona watoto wa upanga wa kishua

Mtoto wa Upanga akienda Oysterbay na Masaki anaona watoto wa maeneo hayo wanatokea familia za kishua
 
Nassikia mmebanduliwa sana na house boys.
 
Mwanangu umeongea kitu kikubwa mno. Mimi kwenye mapambano yangu kwenda nje nikagundua mgahawa wa Macdonald's ni kwa ajili ya wale wasio na hela. Ila ukitaka vyakula vya kiafrika ni bei mbaya. Hawa wa kishua wanaoona KFC ni pa maana bado ni washamba mno.
 
Kuhusu mtoto, nashauri ujipange pange ili isije ikakuletea uzito flani, kwako na kwa wapendwa wako. Si unajua maswala ya kiuchumi Tena.
Niko financially capable kumtunza mtoto ndugu , remember niko kazini na pia niko na salary pia wife ni hustler katika ufanyakazi wake kwa upande wake so habari ya uchumi ya kumtunza mtoto sio shida labda malezi najua mama yake atamtunza kwenye malezi mazuri
 
Niko financially capable kumtunza mtoto ndugu , remember niko kazini na pia niko na salary pia wife ni mfanyakazi so habari ya uchumi ya kumtunza mtoto sio shida labda malezi najua mama yake atamtunza kwenye malezi mazuri
Unajua matunzo na uimara wa familia sio pesa tu, Kumbuka Kuna malezi, upendo na utayari baina ya wanandoa . Hope utakumbuka hilo
 
Pole sana samehe na endelea na maisha yako
 
Unajua matunzo na uimara wa familia sio pesa tu, Kumbuka Kuna malezi, upendo na utayari baina ya wanandoa . Hope utakumbuka hilo
Tuko tayari kumtunza mtoto hata leo nitampenda ila malezi nitamuomba wife ahusike zaidi coz sijioni kuwa mlezi bora .

Japo umri nao unaenda mbio sana
 
Tuko tayari kumtunza mtoto hata leo nitampenda ila malezi nitamuomba wife ahusike zaidi coz sijioni kuwa mlezi bora .

Japo umri nao unaenda mbio sana
That's what iam talking about, usiruhusu uzembe uliokukuta ujirudie kwa mwanao, please bro jitahidi uwe mzazi bora. Dawa zipo za kuacha pombe, Tena ntakutafutia bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…