MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hivi ni kwanini 75% ya Watoto wa Kishua au Waliozaliwa na Washua au Waishio Ushuani hasa Wavulana / Wanaume huwa au huja kuwa Mashoga?Haya sasa,
Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.
Changamoto ya kuishi kwnye familia ya KISHUA ni kukosa muda Wa kuwa marafiki, pia ukitoka nje ya geti Kila mtu anakushangaa, marafiki wengi wa Kila aina wengine wezi wanakuibia vitu kama mipira nk, wazazi kukuona mtoto hata kama umekuwa, nimeogeshwa na Mama na wadada wa kazi Hadi namalizia la Saba.
View attachment 2503537