Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Ndio Mkuu, maisha bora unalazimishwa kula, ukila finyango moja wanashangilia wororooooo leo kala sana kijana wetu,

Ww kijini tulipokulia finyango moja ukirudia ya pili unakatwa jicho kwamba unameza mboga, Ni UMASIKINI, MBOGA HAIMEZWI UNATAKIWA ULE UTOSHEKE IBAKIE YENYEWE
🤣🤣🤣Aisee
 
Haya sasa,

Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.

Changamoto ya kuishi kwnye familia ya KISHUA ni kukosa muda Wa kuwa marafiki, pia ukitoka nje ya geti Kila mtu anakushangaa, marafiki wengi wa Kila aina wengine wezi wanakuibia vitu kama mipira nk, wazazi kukuona mtoto hata kama umekuwa, nimeogeshwa na Mama na wadada wa kazi Hadi namalizia la Saba.

View attachment 2503537
Mimi najuta sababu nimeharibiwa future yangu na huu upuuzi .

Nimekulia dasalam sehemu ya ushuani hasa zama hizo za baba wa taifa , nikasoma nje baada ya mzee kupelekwa huko nje .

Nikala kitabu mpaka nikapata proffession yangu huku mzee akiwa bado yuko ofisini .

Tukazaliwa wawili mimi na sister yangu sikujua kupika wala kufua sio mimi tu hata dada yangu .

Nikalelewa kizungu ujinga ukanijaa nikahitimu masomo nikala kazi mapema sana hapa bongo , ushenzi ukaanza pale kazini nilipokutana na majungu nikawa mtu wa kufyumu na kupotezea namaanisha nimeacha kazi mara sita ya saba haitotokea maana mzee ashatangulia mbele za haki nikijiroga yatanikuta [emoji3]

Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka kumi na nne , leo hii pombe imenighalimu sana yaani kwasasa nimepelekwa vijijini sana kisa pombe kuzidi kazini mpaka nhamishiwa vijijini kama adhabu .

Mzee hakunijenga kama mwanaume ili niweze kuendeleza mali zake , kadanja kamuacha bi mkubwa naye bi mkubwa baadae kadanja hivi navyoongea sina mali ya mzee niliyorithi zaidi ya elimu tu na gari lake la kitambo na nyumba hiyo ya ushuani (nayo sister naona kama vile ataiuza alafu mimi aniteme maana naye mtata tu )

Ukiniuliza hata sielewi maana mama alisema sijui ni nini basi nimeishia tu kuwaona ujombani wakiwa na maisha bora baada ya mama kufa hivyo najua walichukua kila kitu .

Sina maisha ya kuungaunga ila sasa nawaza ningeandaliwa misingi ya kuwa mwanaume kweli basi hata leo ningekuwa na mali nyingi ila ndiyo hivyo nimebaki kupaangalia nyumbani tu kama mgeni maana hata kwa kwenda sijui ni wapi ujombani au kwa akina baba maana mimi siwaelewi na wao hawanielewi sababu wazazi hawakuwa na ukaribu na ndugu zao kabla ya kifo yaani ule ukaribu wa sisi labda kamsalimie bibi mara uncle hayo hayakuwepo

Sijui kufua wala kupika na umri huu wa sitini kasoro .
Ngono nimeanza kufanya na miaka kumi na mshua alikuwa anajua ila anaishia kusema be care .

Oyaa ngoma nimepona tu kwa vile wazungu wengi ngoma hawana sio kama hapa kwetu .

Nilileta ukishua vijijini kwa watu nikaozeshwa ndoa ya mkeka [emoji3] na sasa niko na mwanamke ila ukiniuliza niliwahi kuwaza kuoa sijui hata kama hilo wazo liliwahi nijia .

Naishi kwa akili za mwanamke maana yeye ameyajua madhaifu yangu hivyo kadi ya benki na mahitaji ya kiume yote utoa yeye baada ya kuninyang'anya kadi ya benki baada ya kunishtaki kwa wakubwa .

Kutokuwekewa misingi ya maisha halisi yalivyo kumenifanya baada ya mzee kufariki nijichanganye sana na jamii ya watoto wa uswazi yaani Keko , Tandika , Temeke , Mwananyamala , Mburahati huniambii chochote na hunidanganyi chochote .

Sijaambulia maarifa ya maisha zaidi walinifunza kuvuta bangi na mwisho wakawa machawa wangu ila sasa nilishawatema .

Nakunywa pombe mpaka sijielewi na kuacha nawaza japo sio leo [emoji848]

Ni nyumba tu iliyoko huko ushuani ndiyo natamba nayo kuwa hapa ndiyo kwetu ila ushua wa kwetu changanya na uzungu basi nilikuwa kama mbwa wa kisasa aliyekosa matunzo baada ya wazee kutangulia .

Nachofurahia kazi ninayoifanya naipenda japo kabla sijalewa nikilewa wewe pita kule .

Nipende kuwaasa wazazi na walezi , uwe na hela usiwe na hela pambana sana umlee mtoto katika mazingira ambayo yanaendana na jamii itakayomzunguka wewe ukiwepo na usipokuwepo .

Uzungu ukizidi mtoto unamuharibu leo ukiwepo na kesho usipokuwepo .

Nawasalimu wanangu wa nguvu advocate Pascal Mayalla , kaka mkubwa GENTAMYCINE , mkubwa mdukuzi bila kumsahau mwamba Abiola
 
Sasa hizi stori zako mbona kama mlikua mnakaa uswazi? Ushuani kila mtu ana gate lake, kila mtoto ana mpira wake na wengine mpaka jumping castles! Kila nyumba ina swimming pool. Huyo anaekushangaa ukitoka getini kwenu anakua mlinzi wa geti la jirani ama?

Hebu rudia hii script umeikosea aisee!
 
Kuna watu wanaleta makasiliko Yao kwa watoto wa KISHUA kisa wao siyo wa KISHUA huna haja ya kuwa na hasira na sisi wa KISHUA tengeneza connection huenda ukapata vitu usivyovitarajia kwenye maisha yako kwa bei ndongo au hata Bure kutoka kwetu.

Mwaka furani nilikuwa naenda sehem ya mbali nikadodosha namba ya gar wakati wa kurud nikaikuta Iko kwenye kizuiz furan aliyeiokota kaacha namba juzi mtoto wa aliyeiokota kaja kwenye mishe zake kafikia kwangu Hapa dar kawa kama ndugu tu Sasa hivi namfanyie michongo ya pesa nying ambayo hajawah kuwaza ataishika

Wazaz wanabaki kunipigia sim kunishukru
Acheni makasiliko jaman.
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Watu FURANI wanamakasiriko FURANI kwa watoto FURANI wa kishua
 
Sasa hizi stori zako mbona kama mlikua mnakaa uswazi? Ushuani kila mtu ana gate lake, kila mtoto ana mpira wake na wengine mpaka jumping castles! Kila nyumba ina swimming pool. Huyo anaekushangaa ukitoka getini kwenu anakua mlinzi wa geti la jirani ama?

Hebu rudia hii script umeikosea aisee!
Haya washua wameanza kuona makosa kwenye igizo la mtoto wa kishua
 
Mimi najuta sababu nimeharibiwa future yangu na huu upuuzi .

Nimekulia dasalam sehemu ya ushuani hasa zama hizo za baba wa taifa , nikasoma nje baada ya mzee kupelekwa huko nje .

Nikala kitabu mpaka nikapata proffession yangu huku mzee akiwa bado yuko ofisini .

Tukazaliwa wawili mimi na sister yangu sikujua kupika wala kufua sio mimi tu hata dada yangu .

Nikalelewa kizungu ujinga ukanijaa nikahitimu masomo nikala kazi mapema sana hapa bongo , ushenzi ukaanza pale kazini nilipokutana na majungu nikawa mtu wa kufyumu na kupotezea namaanisha nimeacha kazi mara sita ya saba haitotokea maana mzee ashatangulia mbele za haki nikijiroga yatanikuta [emoji3]

Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka kumi na nne , leo hii pombe imenighalimu sana yaani kwasasa nimepelekwa vijijini sana kisa pombe kuzidi kazini mpaka nhamishiwa vijijini kama adhabu .

Mzee hakunijenga kama mwanaume ili niweze kuendeleza mali zake , kadanja kamuacha bi mkubwa naye bi mkubwa baadae kadanja hivi navyoongea sina mali ya mzee niliyorithi zaidi ya elimu tu na gari lake la kitambo na nyumba hiyo ya ushuani (nayo sister naona kama vile ataiuza alafu mimi aniteme maana naye mtata tu )

Ukiniuliza hata sielewi maana mama alisema sijui ni nini basi nimeishia tu kuwaona ujombani wakiwa na maisha bora baada ya mama kufa hivyo najua walichukua kila kitu .

Sina maisha ya kuungaunga ila sasa nawaza ningeandaliwa misingi ya kuwa mwanaume kweli basi hata leo ningekuwa na mali nyingi ila ndiyo hivyo nimebaki kupaangalia nyumbani tu kama mgeni maana hata kwa kwenda sijui ni wapi ujombani au kwa akina baba maana mimi siwaelewi na wao hawanielewi sababu wazazi hawakuwa na ukaribu na ndugu zao kabla ya kifo yaani ule ukaribu wa sisi labda kamsalimie bibi mara uncle hayo hayakuwepo

Sijui kufua wala kupika na umri huu wa sitini kasoro .
Ngono nimeanza kufanya na miaka kumi na mshua alikuwa anajua ila anaishia kusema be care .

Oyaa ngoma nimepona tu kwa vile wazungu wengi ngoma hawana sio kama hapa kwetu .

Nilileta ukishua vijijini kwa watu nikaozeshwa ndoa ya mkeka [emoji3] na sasa niko na mwanamke ila ukiniuliza niliwahi kuwaza kuoa sijui hata kama hilo wazo liliwahi nijia .

Naishi kwa akili za mwanamke maana yeye ameyajua madhaifu yangu hivyo kadi ya benki na mahitaji ya kiume yote utoa yeye baada ya kuninyang'anya kadi ya benki baada ya kunishtaki kwa wakubwa .

Kutokuwekewa misingi ya maisha halisi yalivyo kumenifanya baada ya mzee kufariki nijichanganye sana na jamii ya watoto wa uswazi yaani Keko , Tandika , Temeke , Mwananyamala , Mburahati huniambii chochote na hunidanganyi chochote .

Sijaambulia maarifa ya maisha zaidi walinifunza kuvuta bangi na mwisho wakawa machawa wangu ila sasa nilishawatema .

Nakunywa pombe mpaka sijielewi na kuacha nawaza japo sio leo [emoji848]

Ni nyumba tu iliyoko huko ushuani ndiyo natamba nayo kuwa hapa ndiyo kwetu ila ushua wa kwetu changanya na uzungu basi nilikuwa kama mbwa wa kisasa aliyekosa matunzo baada ya wazee kutangulia .

Nachofurahia kazi ninayoifanya naipenda japo kabla sijalewa nikilewa wewe pita kule .

Nipende kuwaasa wazazi na walezi , uwe na hela usiwe na hela pambana sana umlee mtoto katika mazingira ambayo yanaendana na jamii itakayomzunguka wewe ukiwepo na usipokuwepo .

Uzungu ukizidi mtoto unamuharibu leo ukiwepo na kesho usipokuwepo .

Nawasalimu wanangu wa nguvu advocate Pascal Mayalla , kaka mkubwa GENTAMYCINE , mkubwa mdukuzi bila kumsahau mwamba Abiola
Imeenda shule post yako Mkuu.
Hujachagua kufa na negative sumu moyoni, umetema nyongo na uzuri umezijua weakness zako! Hayo mapungufu ya wazazi andaa kizazi chako kiwe tofauti
 
Back
Top Bottom