Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Hahhahahah upo sahihi...
Kuna uzi uliletwa humu mtoto kalilia soda akapigwa..
Mi nikasema mi mwaangu ali chakula bila juyc...hehehe nilifatwa hadi inbox kutukanwa...
Yaani juyc just imagne juice
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ee tuendelee
 
Changamoto nyingine ni kuharibikiwa maisha maana wengi wao hudekezwaa sana.......

Yaan nashuhuda nyingi za vijana kuharibikiwa ki maisha SABB ya life style za kudekezwa kupita kiasi......

Watoto wa mum..am going....🤓😂🤣🤣
Tatizo ni moja..
Hawafundishwi kazi..
Mimi ki ukweli tulikua na maisha ya kawaida lakin nilizaliwa wa kike pekee miongoni mwa wavulana watano...so nilikua jicho la mama yangu.
Sikua nafanya kazi huku na huku akaja msichana wa kazi na mama alikua ashindwi nyumbani...yule dada alikua ananiforce nifanye kazi...aiseee nilimchukia kwa kipindi kile lakini natamani kumtafuta maana alinifundisha kazi.na alikaa mda mrefu balaa yaani miaka lakini ndo alinifundisha kazi...aliitwa FATUMA
 
Mtatuchamba bure, fikiria mtu hayo maisha tukiongea tulivyokulia anaona kama ni ndoto hayapo.
Bado amekuwa ramani haisomeki, hakuna rangi tutaacha iona.
Mungu ni mwema kila wakati kwa kweli...

Umaskini, umaskini na hasira vinaendana yaan wakuta mtu anakuchukua kisa unakula vizuri, au una miliki vitu vizuri au unatembelea gari,

Nisimulie mimi hata inbox Bantu Lady sitakuchamba [emoji1787]
 
😂😂😂😭😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mtatuchamba bure, fikiria mtu hayo maisha tukiongea tulivyokulia anaona kama ni ndoto hayapo.
Bado amekuwa ramani haisomeki, hakuna rangi tutaacha iona.
Mungu ni mwema kila wakati kwa kweli...
Huna baya bosi wangu Bantu Lady atakaekuzingua imekula kwake, ila boss uninunulie gari maana nimechoka kupanda matela ya ng'ombe
 
Umeandika Kwa hisia sanaa....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana hapo kwenye sembe ugali nafaka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Mkuu ni ukweli tunajidanganya bure, tunafanana wote tunatofautiana viwango tu navipaumbele tu, sioni tajiri hapo, bourgeoisie au lords kama kule ulaya.......we are just lupens nikijimwambafai, hamna mwenye babu wawili matajiri, ikipata kazi TRA ya 5m@monthly na rusha ya 4m anajiona tajiri kwasbb ana vigari viwili Ist na ka crown Pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…