masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hahhahahah upo sahihi...Ngoja nikae kimya coz JF ukitaka uonekane kua ni mkweli basi jitangaze kua unapitia magumu na upo kwenye dhiki,kila mtu atakuonea huruma na kukuombea dua kisha kukutia moyo,sijui pambana utatoka tu,
Ukisema kua una good life,utasikia acha uongo,mtu mwenyewe upo kwa Shemeji yako unagombania remote na watoto wa Dada yako.
😀 😀
Kuna uzi uliletwa humu mtoto kalilia soda akapigwa..
Mi nikasema mi mwaangu ali chakula bila juyc...hehehe nilifatwa hadi inbox kutukanwa...
Yaani juyc just imagne juice