Wale tuliopoteza muda shule kusoma tukutane hapa

Inaumiza sana na kuchoma sana ukiwaza muda uliotumia kupambana na elimu, wazazi, jamii na ndugu wakitegemea meng toka kwako.. kuna muda nawazaga pengine mistake yang kubwa ilkua ni kufaulu form 4.. ningefeki form 4 pengne ningekua mbali sana.. umri unaenda, majukumu yanaongeka
 
At the end of the day no one cares
It's you against life
 
Niliaxh

Mi nilichokosea niliapa kabisa sitafanya kazi yenye mshahara chini ya million 2 kiapo kimenipoza sijui kazi za laki mbili ziliniskia nikiapa
Hahaha 🤣
 
Aiseee hicho kjj na familia inaonesha nyie n hali mbaya yaan just imagine unategemewa na kijj jitu likiwa 4 kapga HKL alaf uwe mwalim mkuu wa mwenda wazimu school iv hcho kijj kinaonesha kipo gizan sana kinaitaji kikombolewe bdo ipo karne ya zama zamawe za kale
 
Faki you.!!
 
Niliacha shule nikiwa darasa la 5 baada ya kugundua shule inapoteza muda nikaanza kufanya kazi nikiwa bado mdogo marafiki zangu waliokuwa wanaendelea na shule waliniona kama mjinga na wakanicheka kwa sasa mimi ni tajiri nawazidi mbali nina magari nina nyumba nina biashara kibao wao wana maisha ya ovyo tu hawaamini hata wale waliokuwa wanajidai wanashika namba moja wana maisha ya chini sana,niligundua ajira zina mishahara midogo mtu kutajirika kwa ajira ni vigumu hata akitajirika anakuwa na utajiri mdogo sana,ni bora uongee kisukuma ila una pesa chafu kabisa kuliko unaongea kiingereza halafu pesa huna akaunti ina laki 5 tu! Niligundua pia elimu ni ujuzi tu unasoma ili ujue kusoma na kuandika basi maisha yanaenda kuliko unasoma mpaka unakuwa baba mzima halafu uanze kulipwa laki 5 kwa mwezi! Hiyo pesa ya vocha
 
Upo sahihi sana mkuu, umeandika kama Professor
 

Mwambie akutajie jina la professor yoyote Tanzania. Anaemzidi pesa Kishimba ambaye ni darasa la saba
 
Wenye elimu zetu kubwa tuko huku tumekamata wizara tutajirikia kodi zenu nyie la saba endeeleni kufanya biashara
 
Kishimba is way too far, mimi tu hapa hela nayoingiza kwa siku am sure hakuna professor anafikia labda awe mwizi
Kwani ni watu wangapi ambao sio la saba ni Masters na PhD holders ni matajiri kama kishimba? Watu mkishindwa shule mnakimbilia ohh tuna hela tumetajirika, nani aliwaambia hakuna wasomi waliotajirika kupitia elimu zao? Nani kawaambia wasomi hawana hela? Wasomi 10 sijui 20 uliowaona mtaani kwenu wanatosha kusemea wasomi wote? Vipi ambao darasani walifeli na mtaani wanapigwa na maisha?
 
Kunywa maji mengi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…