Wale tuliowahi kuishiwa nauli katika mishemishe tukutane hapa tuelezee tulifanyaje tukapata nauli

mimi ndo mana natembea na madini kama baharia[emoji23]maana muda wowote unafanya barter trade
niliporwaga mwaka fulani Coco bahati nzuri nikabaki na saa kali ,kwahiyo nikampa konda kwa exchange ya 300 kipindi icho aisee tangu mwaka huo nauli kwenye ziwa.
 
Umekula nauli wenzako wote wanaondoka, umebaki na wajinga wenzako hostel nzima mpo kuzuga tu ooh na issue hapa Sikh mbili hizi nadhani kesho kutwa taondoka inafika hiyo siku upo tu,

Unapambana uku na kule unapata nusu nauli kwakua unatoka bukoba unaenda dar na nauli uliyonayo inaishia singida unamua liwalo na liwe unakata ticket ya bukoba to singida safari inaanza mkifika singida ushuki, unabana, kutoka singida to dar wewe in maombi tu konda asikumbuke Mara mpo Dodoma unashukuru, Mara morogoro unasema asante mungu Mara mbezi mwisho unasema ubarikiwe yawe Mara ubungo unasema amen

Ni mapito ila yametujenga sana tena sana
[emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka jamani
 
Kuna mdau mmoja humu nakumbuka baada ya kukosa nauli alijiongeza akapelekwa home na gari LA kuzibua vyoo, baada ya kuwapanga kwao choo kimejaa si unajua uswajilini vichochoro gari haingii.Mwana kawaonyesha jamaa home pale dakika mbili nakuja ndo kimoja washkaji kwenda kuulizia wanaambiwa hpa hakuna choo kilichojaa pia hii ni njia
 
Mimi nimesaidia wengi sana hizi nauli sijui kuombwa hela ya kula hawaesabiki huwa najisemea moyoni kama wananitapeli potelea mbali najua wanashida anyway kuna siku mama mmoja yuko smart kweli nakiete pharmacy pale ananiambia hajala na hana nauli nikampa elfu kumi
 
Mdau hiyo yako simple sana, Mnazi Mmoja to Mbezi Chamdoli, nimewahi kutoka Morogoro to Unguja dah ilikua noma sana, sitaki kukumbukaga kabisa konda wa Abood alinichukulia saa yangu na kwenye boat nilikamatwa Sina tiketi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ilishawahi kunikuta hiyo nimepanda basi nauli 700 Mbezi-Kibaha,nimefika mlangoni konda anachukua hela, kujisachi mfukoni nikakumbuka pochi nimeacha kwenye suruali nyingine, ikabidi nizuge kuna jamaa yuko chini ana hela zangu, ile kushuka ikawa kama bahati kuna jamaa namjua anakatiza, nikamuelezea akanipa buku mbili, ila inafikirisha sana hiyo situation, akili huwa inafanya kazi kwa kiwango cha juu sana kutafuta solution ili kukwepa aibu...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Umekula nauli wenzako wote wanaondoka, umebaki na wajinga wenzako hostel nzima mpo kuzuga tu ooh na issue hapa Sikh mbili hizi nadhani kesho kutwa taondoka inafika hiyo siku upo tu,

Unapambana uku na kule unapata nusu nauli kwakua unatoka bukoba unaenda dar na nauli uliyonayo inaishia singida unamua liwalo na liwe unakata ticket ya bukoba to singida safari inaanza mkifika singida ushuki, unabana, kutoka singida to dar wewe in maombi tu konda asikumbuke Mara mpo Dodoma unashukuru, Mara morogoro unasema asante mungu Mara mbezi mwisho unasema ubarikiwe yawe Mara ubungo unasema amen

Ni mapito ila yametujenga sana tena sana
umewahi kufanya hivyo kama mara ngapi?[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Duuuu, kuna siku nilienda mjini Singida kutokea Iramba kutoa picha za watu nikaishiwa hela ilinilazimu kumpigia dadangu kumuomba anisaidie buku tano ilikuwa fedheha saaana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwani wewe hajawahi kumsaidia?
 
mimi nimesaidia wengi sana hizi nauli sijui kuombwa hela ya kula hawaesabiki huwa najisemea moyoni kama wananitapeli potelea mbali najua wanashida anyway kuna siku mama mmoja yuko smart kweli nakiete pharmacy pale ananiambia hajala na hana nauli nikampa elfu kumi
alikuwa anakujua?
 
Kuna mdau mmoja humu nakumbuka baada ya kukosa nauli alijiongeza akapelekwa home na gari LA kuzibua vyoo, baada ya kuwapanga kwao choo kimejaa si unajua uswajilini vichochoro gari haingii.Mwana kawaonyesha jamaa home pale dakika mbili nakuja ndo kimoja washkaji kwenda kuulizia wanaambiwa hpa hakuna choo kilichojaa pia hii ni njia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
mimi ndo mana natembea na madini kama baharia[emoji23]maana muda wowote unafanya barter trade
niliporwaga mwaka fulani Coco bahati nzuri nikabaki na saa kali ,kwahiyo nikampa konda kwa exchange ya 300 kipindi icho aisee tangu mwaka huo nauli kwenye ziwa.
mchana?hawakukudhuru?
 
Back
Top Bottom