Bagamoyo pia kuna hotel zilizoko ufukweni na ni tulivu sana. Pia ni mji wa kitalii hivyo hotel zina live band flani hivi amazing na kuna kina Msafiri Zawose huko wanaimba na zeze kabisa. Kuna maisha fulani ya kitalii ila uwe na mpunga kidogoNimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?
Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale,Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?
Tatizo Dubai hamnaga Dada zetu wa maanaKama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Ila lushoto kwakweli ni ulaya ndogo jamani tuseme ukweli, mkuu tuongezee picha kidogo please
State ndio wapi huko?State, japo sio kwa gharama zangu
BidenState ndio wapi huko?
Okay! Ila state hamna kipya sana labda ukashangae magorofaBiden
Inabidi utoke naye huku, kwa gharama zake lakiniTatizo Dubai hamnaga Dada zetu wa maana
Boti panda zanzibar one ufurahie maisha bakhresa jina tu ila ukitaka kuthibitisha kwenda panda zanzibar one kurudi panda kilimanjaro halafu ulete mrejesho hapasorry naombeni kujua sehemu nzuri kwa zanziber, ili ni enjoy na mtu wangu (tupo wawili tu)..naombeni location na bajeti ila boti kutoka dar nataka ile boti nzuri kabisa kushinda zote
Kubadili mazingira tu inatosha.Okay! Ila state hamna kipya sana labda ukashangae magorofa
Sijakuelewa mkuu, Zanzibar one ni ya azam au ni kampuni tofauti....Boti panda zanzibar one ufurahie maisha bakhresa jina tu ila ukitaka kuthibitisha kwenda panda zanzibar one kurudi panda kilimanjaro halafu ulete mrejesho hapa
Hapana ni tofauti zanzibar one wanaziita mwendo kasi zipo vizuri sana.sijakuelewa mkuu, zanziber one ni ya azam au ni kampuni tofauti....
Tupeane na cost sio wote tunapafahamuBagamoyo pia kuna hotel zilizoko ufukweni na ni tulivu sana. Pia ni mji wa kitalii hivyo hotel zina live band flani hivi amazing na kuna kina Msafiri Zawose huko wanaimba na zeze kabisa. Kuna maisha fulani ya kitalii ila uwe na mpunga kidogo