Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Lushoto mkoani Tanga

EPRO0004.JPG

EPRO0028.JPG

EPRO0045.JPG

EPRO0068.JPG
 
Kinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha

hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
Picha?
 
Huu uzi ni mzuri sana ila ningeomba kidogo ambao wamefika hizo sehemu wangetusaidia kidogo kuweka na gharama za hizo sehemu ingetusaidia kuweza kujipambanua kwakweli. Natanguliza shukrani.
Bagamoyo loland park room 50000/- ni pazur Sana ukiwa na kimwana, jioni utachukua tax sh 3000/- akupeleke baharini ukapunge upepo...chakula mtaanai ni cheap 3000-4000/- samaki na wali, nk.

Weekend nenda dunda dunda park bend safi na mziki mzur.

Local beers 1500-2500/-

Msafiri lodge 30000-35000/ room

Ukiona so maeneo ya mji nenda kwa tax 3000 palace hotel kaole road...huko Bahar hiyo hapo upenuni kipupwe safi. Ni pazur na family

Kwa msaada Zaid google site za bagamoyo
 
Weka namba Mkuu Kuna demu nataka nikampe mambo huko huko Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom