Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya utalii maana yake ni nini?Jamani hapa Bagamoyo kuna Nini cha Ziada?
Magofu au?
Sijaelewa?
Lushoto Unamaanisha Hali ya Hewa au Kupumzika Au Kuna Vitu Vya Kushangaa?
Nimeuliza tuu ili Kujua
[emoji16][emoji16]$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.
Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
Local
Magoroto forest
Bagomoyo
Serengeti national parks
tembelea youtube acc ya osse utaweza kuona sehemu mbali mbali za ww kutembelea na familia yako
moja wapo ni hii vid utaona uko Ta kuna mahala panaitwa the clif
#mchawi Pesa
Nilipiga picha nzuri sna hapo zikapoteaKinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha
hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
You recieve in Jesus nameI just wanna peace with my life
I don't believe in himYou recieve in Jesus name
Okey fineI don't believe in him
aisee uje urudie, pamekuwa very green kwa sasaNilipiga picha nzuri sna hapo zikapotea
Sawa haina shida mkuuOkey fine
Ntarudi aisee maana ndo njia ya kwenda ukweniaisee uje urudie, pamekuwa very green kwa sasa
yaan raha sana Marangu, hakujawahi kuwa na ukame ije mvua ije jua
ukweni ni Rombo nini? au kilema kuleNtarudi aisee maana ndo njia ya kwenda ukweni