Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Jamani hapa Bagamoyo kuna Nini cha Ziada?
Magofu au?
Sijaelewa?
Lushoto Unamaanisha Hali ya Hewa au Kupumzika Au Kuna Vitu Vya Kushangaa?
Nimeuliza tuu ili Kujua
Kufanya utalii maana yake ni nini?
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.

Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
[emoji16][emoji16]
 
tembelea youtube acc ya osse utaweza kuona sehemu mbali mbali za ww kutembelea na familia yako
moja wapo ni hii vid utaona uko Ta kuna mahala panaitwa the clif
#mchawi Pesa



Lushoto ipo very underrated isee mi nilikuwa najua ni kijijini huko ndani ndani kumbe ndo pa kishua hivyo..
 
Kinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha

hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
Nilipiga picha nzuri sna hapo zikapotea
 
Back
Top Bottom