Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GharamaKuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmas [emoji319] moja. Tulienjoy sana
Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.
Gwata camp..Moro hapo walau siku mbili kupunga upepoWakuu vipi.
Msimu wa Christmas ndio huu,wapi pa kwenda kuenjoy weka comment yako ya mahali popote unapo pajua
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Sawa MkuuVacation unaenda sehemu yenye totoz mixer kama zote.
Bagamoyo ni kama Tegeta tu, sema kuna wazungu, Ukishangaa utaishia kuona Vibanda vya tigopesa na MPESA.Nimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?
Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale, Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?
Bagamoyo ni kama Tegeta tu, sema kuna wazungu, Ukishangaa utaishia kuona Vibanda vya tigopesa na MPESA.
Iko njema, napenda sana solo tour japo ni gharama haina cost sharing 😅😅Wale walikuwa wanauliza Dubai hii apa ya Dubai expo sijafwatilia vyema ukiweza cheki uone kama utaweza kwenda kuenjoy Dubai View attachment 1984992View attachment 1984993
Irente view Lushoto. Hutajuta kuwa Lushoto View attachment 2021782
Ni utaratibu niliouzoea toka kwa wazazi nampaka sasa nauendelezea Xmass kwenda sehemu tulivu kipindi cha sikukuu. My next vacation nitaenda Ruaha National Park coz zingine zote nchini nimeshafika nakufurahia utalii wa ndani. Mwaka mpya ni siku yakuonana ndugu wote kula, kunywa kwa pamoja na kubadirishana mawazoALL NATIONAL PARKS
Nenda Kilwa mpaka Mafia..Kwa hyo tuseme njia ya Lindi hadi mtwara hakuna maeneo ya Vacation? embu tupeni mchongo watu wa upande huo pia.
Kilwa kuna mambo gan kule au ndo yale manyumba ya kale?Nenda Kilwa mpaka Mafia..
hifadhi hata buku mbili ya kukodi boda toka pale airport hadi buguruni chama....la msingi utoke pale airport na boda...ukifika chama akili yako ita click ni vipi ufike kwenu.$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.
Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
Hiyo trip ya Dubai nimeipangia mwaka ujao mwisho wa mwaka. Mwaka Huu, kuanzia 25 Desemba naanzia na Bujumbura, niivinjari Burundi, nipande kaskazini kupitia Lake Kivu hadi Goma DRC. ... Safari ya kurudi nitapitia Kigali Rwanda...Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.