Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
😀😀😀kama huwajui ni wewe mzee. Sisi tunakula nao sahani moja. Tunakula nao beer, tunawatomber na tunaishi nao kitaa.Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Hadi ofisi zipoMkuu mbona wengine wanajulikana tunaishi nao na kukutana nao kwenye shughuli zetu za kila siku
Wanajianika wenyewe siku hizi...Ukindoa Mkurugenzi wa TISS, ambaye anajulikana, ni kosa la jinai kumuanika mtumishi wa TISS.
Tafuta maana ya double agent,spy and informer unachanganya wali na makande.Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Hata DSO/RSO?Ukindoa Mkurugenzi wa TISS, ambaye anajulikana, ni kosa la jinai kumuanika mtumishi wa TISS.
Hawana nidhamu ya kazi.Wanajianika wenyewe siku hizi...
Hao si TISS proper hao ni wafanyakazi wa serikali wenye majukumu ya usalama tu.Hata DSO/RSO?
We jamaa ni mkongwe mpumbafuUkindoa Mkurugenzi wa TISS, ambaye anajulikana, ni kosa la jinai kumuanika mtumishi wa TISS.
Hivi hao ‘agents’ wa TISS kazi yao huwa ni nini hasa?Hao si TISS proper hao ni wafanyakazi wa serikali wenye majukumu ya usalama tu.
Unaowaona wewe ndio sio ila wakwetu sisi ni wenyewe .Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Acha ushamba watumishi wote sawa tu hao tiss ni wapo tunaishi nao..na wengine wanasimama na viongozi wetu kuwalinda sasa cha ajabu ni nini..!Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.