Mkuu unatakiwa ujue kuna maafisa usalama wa taifa wa umma na maafisa usalama wa taifa wa siri.Ukindoa Mkurugenzi wa TISS, ambaye anajulikana, ni kosa la jinai kumuanika mtumishi wa TISS.
We jamaa ni mkongwe mpumbafu
Hivi DSO sio TISS??
RSO sio TISS??
watumishi walioko chini yao sio TISS??
Mbona wanajulikana na wanajitambulisha kwenye shughuli mbalimbali??
Naongelea agents wa TISS.Mkuu unatakiwa ujue kuna maafisa usalama wa taifa wa umma na maafisa usalama wa taifa wa siri.
Maafisa usalama wa taifa wa umma hao ni viongozi kama maafisa usalama wa taifa wa mikoa na wilaya hawa wanajulikana na wengine hadi nyumba wanazoishi zinajulikana kwani wengi wanaishi nyumba za serikali , hawa wanajulikana.
Pia kuna Government Security Officers hawa wanapita ofisi nyingi za serikali kueleza kuhusu usalama wa nyaraka za serikali au Mali za serikali hawa pia wanajulikana na watumishi wengi wa serikali manake mara nyingi wanaitisha vikao na wanajitambulisha .
Na pia kuna maafisa usalama wa taifa wa siri hawa ndio hawafahamiki kirahisi hata wenyewe kwa wenyewe hawafahamiani
Sheria inayoongoza utendaji wao wa kazi nimeiweka post#23Hivi hao ‘agents’ wa TISS kazi yao huwa ni nini hasa?
What’s a day in the life of a TISS like?
TISS inahusika na domestic intelligence na foreign intelligence?
Naongelea agents wa TISS.
Hao watu wenye dhamana ya usalama wa umma hata polisi wamo, hata mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa.
Soma sheria nimeiweka hapo juu post #23
Mkuu ni kwamba hata Raia yeyote kwenye Nchi hii anayo dhamana ya usalama wa umma.
Pia nakuongezea kwamba hata Afisa Tarafa ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya tarafa, Afisa Mtendaji Kata ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama kwenye kata yake.
Ila ukweli ni kwamba maafisa usalama wa taifa wenye vyeo vya ngazi za wilaya na mkoa wanajulikana .
Maafisa usalama walinzi wa viongozi wanajulikana ( hususani wale wanaokaa jirani na anapokuwepo kiongozi) .
Sio kweli kwamba wafanyakazi wote wa tiss hawajulikani.
Aidha kama unaongelea ma agent wa tiss au maafisa vipenyo hao wengi hawajulikani.
Hiyo sheria (amendment act) pamoja na sheria mama ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 zote nazifahamu.
Ila sio kweli kwamba maofisa wote wa usalama wa taifa hawajulikani
Naona kama vile Tanzania huwa tunawarundika tu pamoja wale walinzi wa viongozi, wapelelezi, na majasusi.Mkuu ni kwamba hata Raia yeyote kwenye Nchi hii anayo dhamana ya usalama wa umma.
Pia nakuongezea kwamba hata Afisa Tarafa ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya tarafa, Afisa Mtendaji Kata ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama kwenye kata yake.
Ila ukweli ni kwamba maafisa usalama wa taifa wenye vyeo vya ngazi za wilaya na mkoa wanajulikana .
Maafisa usalama walinzi wa viongozi wanajulikana ( hususani wale wanaokaa jirani na anapokuwepo kiongozi) .
Sio kweli kwamba wafanyakazi wote wa tiss hawajulikani.
Aidha kama unaongelea ma agent wa tiss au maafisa vipenyo hao wengi hawajulikani.
Hiyo sheria (amendment act) pamoja na sheria mama ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 zote nazifahamu.
Ila sio kweli kwamba maofisa wote wa usalama wa taifa hawajulikani
Mkuu nikupe code?Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Imeisha hiyoWala hatuhitaji kuwajua - huo muda tunatoa wapi na inasaidia nini?? Wao wapambane na majukumu yao, na sisi tupambane na ya kwetu - mwisho wa siku kila mtu anataka kupeleka chochote mezani kwa watoto wake.
Duuuuu mwanangu mpaka kuwa tomber🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀kama huwajui ni wewe mzee. Sisi tunakula nao sahani moja. Tunakula nao beer, tunawatomber na tunaishi nao kitaa.
Personally, nishawahi kuona ID yake kabisa. By the way alishajitambulisha kwangu kuwa yeye ni wale wale.
Anahisi ni watu special sanaMkuu mbona wengine wanajulikana tunaishi nao na kukutana nao kwenye shughuli zetu za kila siku
Na akijianika yeye kosa la nn 🤣 🤣Ukindoa Mkurugenzi wa TISS, ambaye anajulikana, ni kosa la jinai kumuanika mtumishi wa TISS.
Kosa lake. Hata yeye hatakiwi kumuanika agent, hata kama agent ni yeye, u agent ni kazi ya serikali.Na akijianika yeye kosa la nn 🤣 🤣
Nakuunga mkono mia Kwa mia. Kuna DSO mmoja wilaya flani alikuwa anajiona sana et anakuja bar akipata Malaya pale akagonga basi mtu mwingine akimchukua Kwa siku nyingine mwamba ananyoshea watu bastola, kiufupi alikuwa mshamba sana,sijajua malipo Yao ila naamini watumishi wa umma mishahara ndo Ile Ile,ila tuache utani Hawa watu wanajionaga special sana, muda wote wako busy na visuti nchi inaliwa 🤣🤣🤣Mkuu ni kwamba hata Raia yeyote kwenye Nchi hii anayo dhamana ya usalama wa umma.
Pia nakuongezea kwamba hata Afisa Tarafa ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya tarafa, Afisa Mtendaji Kata ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama kwenye kata yake.
Ila ukweli ni kwamba maafisa usalama wa taifa wenye vyeo vya ngazi za wilaya na mkoa wanajulikana .
Maafisa usalama walinzi wa viongozi wanajulikana ( hususani wale wanaokaa jirani na anapokuwepo kiongozi) .
Sio kweli kwamba wafanyakazi wote wa tiss hawajulikani.
Aidha kama unaongelea ma agent wa tiss au maafisa vipenyo hao wengi hawajulikani.
Hiyo sheria (amendment act) pamoja na sheria mama ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 zote nazifahamu.
Ila sio kweli kwamba maofisa wote wa usalama wa taifa hawajulikani
labda asewe wapo wale wa siriniAcha ushamba watumishi wote sawa tu hao tiss ni wapo tunaishi nao..na wengine wanasimama na viongozi wetu kuwalinda sasa cha ajabu ni nini..!
Tafuta maana ya double agent,spy and informer unachanganya wali na makande.