Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Hapo unajizungumzia wewe au sote kwa pamoja
 
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Unaishi wapi hapa nchini/duniani?
 
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Naona unaongelea enzi za Nyerere wakati tunapata Uhuru
 
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Kichwa chako hakiko sawa, ofisi zao zinajulikana na wao kuanzia Director mpaka wakuu wa branches zote wanajulikana. Hawa vijana wao wa field huwa wakiwa kwenye ofisi zao hasa hawa wa headquarter jioni wanashinda kwenye mabaa wakitokea ofisini sasa aliyekudanganya hawajulikani kwa kuwa kwenu huko Tinde haujawahi kiwaona unadhani wanaishi Jupiter?
 
We jamaa ni mkongwe mpumbafu

Hivi DSO sio TISS??

RSO sio TISS??

watumishi walioko chini yao sio TISS??

Mbona wanajulikana na wanajitambulisha kwenye shughuli mbalimbali??
Sio lugha nzuri kumuita mwenzako mpumbavu,si umwambie we Jamaa huelewi tuu!
 
Kuna watu hufanyiwa hiyo vetting wakiwa hawana elimu yeyote.ikitokea mtu huyu asie na elimu anafuatiliwa hivi huwa wameona nini.?ndio maana yangu
Aah, sawa.

Kimantiki elimu ni dhana pana. Kuna watu hawana elimu ya darasani lakini si kwa sababu hawana uwezo, labda hawakuwa na muda wa kusoma, labda hawakuwa na nafasi, lakini uwezo wanao.

Sasa TISS wakiona mtu ana uwezo, suala la elimu si kikwazo. Yani kwa mfano, akihitajika mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuendesha na kutengeneza magari, ambaye hana elimu sana, na mwingine mwenye elimu sana lakini hajui hata kuendesha gari wala kutengeneza, katika kazi ambayo inahitaji kujua sana kuendesha na kutengeneza magari, huyo mtu mwenye uwezo ambaye hana elimu atachukuliwa. Isitoshe TISS wana kitengo chao maalum cha mafunzo kwa hiyo watamfundisha mambo wanayotaka wanavyotaka wao.

Hii ndiyo sababu, angalau kinadharia kwa msingi kutoka zamani.
 
Aah, sawa.

Kimantiki elimu ni dhana pana. Kuna watu hawana elimu ya darasani lakini si kwa sababu hawana uwezo, labda hawakuwa na muda wa kusoma, labda hawakuwa na nafasi, lakini uwezo wanao.

Sasa TISS wakiona mtu ana uwezo, suala la elimu si kikwazo. Yani kwa mfano, akihitajika mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuendesha na kutengeneza magari, ambaye hana elimu sana, na mwingine mwenye elimu sana lakini hajui hata kuendesha gari wala kutengeneza, katika kazi ambayo inahitaji kujua sana kuendesha na kutengeneza magari, huyo mtu mwenye uwezo ambaye hana elimu atachukuliwa. Isitoshe TUSS wana kitengo chao maalum cha mafunzo kwa jiyo watamfundisha mambo wanayotaka wanavyotaka wao.

Hii ndiyo sababu, angalau kinadharia kwa msingi kutoka zamani.
Asante mkuu.
 
Mmoja namfahamu ila sio mtu wa kujikweza , mwingine alikuwa ndugu kabisa anapiga kazi temesa hadi anafariki ndo ilijulikana hata mke wake alijua ni fundi wa matrekta alikuwa hana makuu
 
Hivi hao ‘agents’ wa TISS kazi yao huwa ni nini hasa?

What’s a day in the life of a TISS like?

TISS inahusika na domestic intelligence na foreign intelligence?
Kwa muundo waidara yetu wanafanya both domestic and foreign, mle ndani kuna idara za zina majina(sitozitaja)
Agents kazi yao ni kukusanya taarifa, kuchakata na kuwasilisha panapotakiwa kwa futher action, ila kuna more than that, ila basics ndio hizo
 
Back
Top Bottom