Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Hahahahaha! Niliwahi ingia mkenge kwa mama Ntagaye, nilikuwa na shida zangu binafsi town...Ikabidi nisingizie naumwa kwa kigezo cha kwenda sekoutoure, bwana eeeh, Madam Ntemi kazingua kunipa ruhusa....It was friday ikabidi niende mpaka nyumbani kwa Ntagaye kumuomba ruhusa, kaniruhusu kwa sharti la nikitoka hosp. nipite kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
J3 yake kaanza kunitafuta....Hosp. sikwenda aisee ilikuwa shida[emoji23]

Hizo heka heka ilikuwa raha sana aiseee!
 
He he kwa kweli ulichezea sharubu za mama Aurelia
 
Ndo uzuri wake, ila akikushushua mbele ya wanafunzi na zile moka zake[emoji23][emoji23] unaomba poo.
Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinywea

Mr Kameo alikuwa na allergy na wapendwa waliokuwa wanasali kwa sauti pale kwenye mawe haha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama namuona na mwendo wake ule...
Mr.Kameo aliwazuia wapendwa wale, akidai mmekuja kusoma sio kupigia watu kelele...Ila jamani.
 
Nakumbuka bwiru boyz kulikua na ticha anaitwa kajuna kalikua na swaga balaa
Comedy nying akiwa anapiga pindi la Gs
Hivi bdo yupo bwiru?
 
Maisha ya Boys yalikua matamu sana. Siku hizi pamebadilika. Serikali imepaboresha zaidi.
 
Safi sana mkuu.
Kumbe umesoma enzi za Mkwizu??

Ulikuwa electrical au Mechanical au Civil??
Yes Mr Mkwizu, tunaondoka tukamwacha HeadMaster mmoja fisadi hatari [emoji23]
Mimi nilikuwa Electrical Installation! Darasa la Mwl Y. Muganyizi a.k.a Bega (R.I.P)
Darasa letu (Option) nzima tukala div 1!
 
Kumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!
 
Kumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!
Aisee hongera sana.. Hivi hii mende ilitokana na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…