King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
"Introverts"Basi tusubiri wakuu waje kutoa jina la wagumu kupiga simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Introverts"Basi tusubiri wakuu waje kutoa jina la wagumu kupiga simu
Hivi hii hali ni ya kujivunia kweli au ya kupambana kuiacha"Introverts"
Aisee kumbe sipo peke yangu, yaani hiyo tabia imenifanya nisihaminike kwa mpenzi wangu akawa anaona kama namsalitiAse mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
Imabidi liwe kwa kiswahili hata sie tusiojua lugha ya malkia tuelewe"Introverts"
Tupo wengi Mkuu. Kila Mamamkwe anaponipigia simu lazima nitumie dakika tatu mpaka tano naomba msamaha kwa kutompigia simu na kuahidi kujirekebisha. Lakini bado niko vilevile. Wiki ya tatu sasa, rafiki yangu wa damu wa utotoni kapata ajali ya gari na kulazwa hospitali huko Dar. Sijawahi hata kumpigia simu wakati vocha ninayo. Nasoma tu tarifa zake kwenye group letu la WhatsApp!
Basi tu mnajikuta,mbona washikaji zenu mnawatafuta?Mi hadi huwa najiuliza ni kiburi au hulka
Haipendezi mpigie leo umjulie haliTupo wengi Mkuu. Kila Mamamkwe anaponipigia simu lazima nitumie dakika tatu mpaka tano naomba msamaha kwa kutompigia simu na kuahidi kujirekebisha. Lakini bado niko vilevile. Wiki ya tatu sasa, rafiki yangu wa damu wa utotoni kapata ajali ya gari na kulazwa hospitali huko Dar. Sijawahi hata kumpigia simu wakati vocha ninayo. Nasoma tu tarifa zake kwenye group letu la WhatsApp!
Sawa. Ngoja nitajitahidi. Ila tabia mpya haujifunzi ukubwani! Ahahahahahahahh!!!Haipendezi mpigie leo umjulie hali
Mkuu kumbe ule msemo wa mganga hajigangi ni uongoMimi nahisi nahitaji nafasi zaidi maana nikiwa na mawasiliano sana na watu wengine naona kama kuna kitu wananizuia katika ukuaji kiroho,Napenda kuyachunguza maisha yangu binafsi kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani nina kazi moja ya kuchunguza kila jambo kwa maisha yangu, nikiota ndoto ni lazima niichunguze kwanini niliota vile, nikisikia amani nachunguza, nikisikia maumivu yaliyoambatana na huzuni nachunguza, katika haya yote nimegundua mimi ni mtu wa tofauti sana kwa jamii yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko wengi mkuuDah! Kumbe siko peke yangu.
Hayo ni maneno ya kiswahili tu, lakini kwa hakika hakuna anaekuja kukukomboa mahali ulipo, usipochukua jukumu hilo wewe mwenyewe.Mkuu kumbe ule msemo wa mganga hajigangi ni uongo