Wale waliofufuliwa walipata kusema nini huko walikokuwa?

Aisee
 
Umeelewa lakini,!!? point sio lazaro na Bwana Yesu peke yao , wao wote walifufuliwa
 
Swali langu kuna sehemu Lazaro ameongea na kunukuliwa kabla ya kufa???.

Tuanzie ha
😅😅🤣Daah kwani mlengo wa Nyuzi unataka nini ??ndo maana nmeuliza umesoma mpaka mwisho au umekomaa na histori ya Lazaro bila kutanabahi mlengo wa mkeka??
 
Dhana ya kufufuka iko hivi.. Ni lazima kiwepo kiumbe hai halafu kikafa.. Yaani uhai kabla ya kifo.. Ni lazima kwanza ufe ndio ufufuke
Kufa pia kuko kwa aina nyingi lakini naamini hapa tunajadili kifo kikuu kile cha mwili kutengana na roho...!!! Na kwakweli kinachokufa ni mwili na si roho kwakuwa roho inapozaliwa haifi tena..!!
Ufahamu kamili wa mtu hupatikana kwenye kitunza kumbukumbuku kiitwacho unbongo ndani ya mwili hii ndio hardcopy..soft copy inaondoka na roho.. Hivyo bila kupata hardware ya mwili ili uweze ku instore soft copy ni ngumu kupata kumbukumbu yoyote kwa ukamilifu wake
 
Unaandika kama umepagawa na mapepo, hakuna hata paragraph.

shindwaaa
 
sawa sawa mkuu
 
Mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili.Hao kina Lazaro,Binti Yeiro na wengine waliofufuliwa si watupe siri za maisha ya huko baada ya kifo! Waliona nini huko?
 
Mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili.Hao kina Lazaro,Binti Yeiro na wengine waliofufuliwa si watupe siri za maisha ya huko baada ya kifo! Waliona nini huko?
Tungepata walau update ya huko
Je ni salama,Au ukilala ndiyo umelala kama isemavyo na wengine???

Na je au kuna maisha yale Mapya ambayo kila mfu anayapitia?? (kuzimu)

Yaani ile tukifa tunaendawapi??
 

Hebrew 9:27

New King James Version

And as it is appointed for men to die once, but after this the judgment,





Lazarus was the brother of Martha and Mary. Lazarus was not resurrected, he was resuscitated with his mortal body.

Resurrection is the rising of the dead to immortality.

Even though Lazarus was brought back to life, he was going to die again, just as everyone else does.
 


Waking the Dead

– Did Jesus really "raise" anyone?


Of the 35 miracles supposedly performed by Jesus three were nothing less than restoring life to the recently dead. The lucky three were, implicitly, returned to normal life and would die another day, though we are told nothing of their post death adventures.

Perhaps like Tom Hanks in The Green Mile they lived to a quite extraordinary age? Yet we can be reasonably certain the three were not "resurrected" to life eternal in a supernatural body in the manner of JC himself. That cachet was for JC alone.


But were the three ever raised at all?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…