Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

Attachments

  • Arab_racism_in_Ramadan😱_🇸🇦(360p).mp4
    3.7 MB
  • Humanity_against_racism_#ramadan_#allah_#dua_#motivation_#racism_#freeplastine_#viralvideo_#vi...mp4
    5.4 MB
Wasaudia wanawaona Wayahudi kama ndugu zao kuliko wanavomuona FaizaFoxy kama Nyani tu au Mullahs
 
Yaani hawa waislam wetu wa mchongo wangejua kuwa hao waarabu huko kwao wanavyotubagua, sidhani hata kama wangethubutu kubaki kwenye hii cult
 
Mungu hana dini na hakuna popote alipowahi kutamka kwamba yeye ana dini labda kama unamsema allah.
 
Huyo ni mwanajeshi kuna warabu wengi tu wako jeshi la Israel sa ajabu ipo wapi. Je wanapewa facilities kama za hao ma Zionists? Hilo ndio swali kachunguze utapata jibu.
.... Kachunguze utapata jibu.........weka hapa hicho unachomtuma achunguze kama kweli kipo, au ni kumtaka kurefusha mjadala?.
 
Embu jitafakari vizuri!
Wanabaguliwa ni wale tu waliopo ukanda wa Gaza na West Bank? au hata waliopo ndani ya Waisrael?

Kama ufahamu hili Fanya uchunguzi Ili upate majibu
unataka uachwe ukishambulia ? kisa ww mwarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…