Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Unajiona nani mpaka usiambiwe ukweli

Abood dar mpanda hakuna over swala ataleta baadaye mwezi ujao sijui hizo adithi ambapo sio hoja ya mtoa mada
 
Kwa KATARAMA vingunguti wenyewe wanamuomba Sana naskia jamaa yupo kwenye malori na nimeona scania na Mercedes Benz zikiwa na chata la KATARAMA hvyo huyu jamaa sio wa mchezo nafkiri Biashara ya bus huyu ataiweza Ila kwa upepo huu ukiendelea kuvuma mpaka shule zikifungwa nakwambia kabla ya December mwarabu na wadau kadhaa watakuwa washaingia vingunguti sio chini ya Mara 5
 

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ninachokwambia ni kuwa vingunguti si kwa kila mtu!!
Mtu anayenunua marcopolo g7 scania , mpe heshima yake , naamini allys hawezi.
 
Ninachokwambia ni kuwa vingunguti si kwa kila mtu!!
Mtu anayenunua marcopolo g7 scania , mpe heshima yake , naamini allys hawezi.
Ukizoea vya kunyonga kuchinja unaona ngumu Ila muda n mwalimu mzuri mwarabu lazime atafute mbili za kuzugia wafanyabiashara wa mwanza tena mie nataka aende malysia au Singapore achukue chuma kule aje asanue matajiri kuwa Kuna bus used pia alafu n tamu kuliko za vingunguti
 
Shabiby, kuna basi sitalisahau duh mshikamano investment hili gari [emoji1]
[emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]juzi limekufa gairo ,nimefika Magufuli saa kumi na mbili nikapanda Shukrani gari Lina kunguni balaa[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1]tumeondoka saa mbili kasoro Dar,Mshikamano wameondoka tatu usiku ila walituacha afu tukawakuta gairo wamekufa
Vimeo hvyoo vya kukesha njiani
Ile Shukrani inaenda kama tuko kwenye matembezi ya hisani vile
 

Dar - Tukuyu masaa 6. Full kipupwe, choo ndani, kila siti na hd screen yake. Siti kama za emirates 1st class.
 
Dar to Johannesburg ipo Bubele

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Wasabato wale

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Shikamoo[emoji1787]

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Katarama

Ni mhaya asie na elimu kubwa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…