Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Tunaendelea kutafuna kadri tuwezavyo na hakuna kitu mtafanya.

Jana tumepokea Gassoline kupitia MT POLAR ACE, na juzi MT RICH RAINBOW bandarini na tuna per diem za kutosha.

Na tunashirikiana na Surveyor kupiga Kodi zenu nahakuna kitu mtafanya.

Pia MOUNT MERU wanajenga matank ya mafuta katafuteni vibarua maana ndio kazi mnazoweza, pia HASS anaongeza line ya pipe kutoka KIOJ 1, na Sahara pia anapanua depot yake katafuteni vibarau.

Pumbavuu...
Boss,, naomba kibarua hapo ofisin/site. Nna ujuzi wa driving na basic computer applications. Asante.
 
Akikujibu utaniambia. Ahaa haaa
Nimjibu iweje?. Nimesema nipo hapa kutoa msaada?. Kila mahala nimemuelekeza nijukumu lake kupeleka cv au kutafuta kibarua mahali husika.

Mimi kazi yangu sio kutoa vibarau au kuajiri watu.

Najambo lingine sio Kila anaeomba msaada hapa JF yupo Kwa lengo la kuomba msaada wengine wapo kuchunguza wewe ni nani baada yakuona umeandika taarifa za ukweli juu yameli hizo zilishoshusha mafuta Jana na juzi.

Tatizo mnataka Kila mtu akija humu aje kulia njaa, wengine tushapita huko tulilia njaa sana kipindi tunasoma tulifanya ujasiliamali wakila aina lakini Leo kisa hio degree unayoidharau tupo hapa tulipo Kwa degree hio hio.

Pumbavuuu...unadharau elimu halafu ndugu zako wote wanasoma na huwaambii waache kusoma.

Faraja yako nikusikia Kila aliesoma analia njaa, ukisikia tunakunywa maziwa roho inakutoka nakutamani ungekua wewe kwenye hio nafasi. Pambana sana muda wako ukifika hakuna wakuzuia.

.
Boss,, naomba kibarua hapo ofisin/site. Nna ujuzi wa driving na basic computer applications. Asante.

Boss mie sio muajiri, peleka cv sehemu husika wakiona unahitajika utaitwa.
 
Sawa.
Nimjibu iweje?. Nimesema nipo hapa kutoa msaada?. Kila mahala nimemuelekeza nijukumu lake kupeleka cv au kutafuta kibarua mahali husika.

Mimi kazi yangu sio kutoa vibarau au kuajiri watu.

Najambo lingine sio Kila anaeomba msaada hapa JF yupo Kwa lengo la kuomba msaada wengine wapo kuvhunguza wewe ni nani baada yakuona umeandika taarifa za ukweli juu yameli hizo zilishoshusha mafuta Jana na juzi.

Tatizo mnataka Kila mtu akija humu aje kulia njaa, wengine tushapita huko tulilia njaa sana kipindi tunasoma tulifanya ujasiliamali wakila aina lakini Leo kisa hio degree unayoidharau tupo hapa tulipo Kwa degree hio hio.

Pumbavuuu...unadharau elimu halafu ndugu zako wote wanasoma na huwaambii waache kusoma.

.

Boss mie sio muajiri, peleka cv sehemu husika wakina unahitajika utaitwa.
.
 
Kwani gvt haiwezi kufanya mazingira ya shule zao kuwa bora .kama JPM aliweza kuanzisha mfumo wa elimu bure natumaini hata hili linawezekana
Ni kweli linawezekana lakini ni very very expensive. Hebu zingatia tangu JPM aanzishe habari za madawati Toshelevu mafanikio yamekuwaje hadi sasa. Mbona bado idadi ya madawati yanayotosheleza haijaweza kufikiwa/ haijakamilika? Hoja ya Elimu bure ipo kisiasa zaidi lakini katika uhalisia wake haipo elimu ya bure. Kwa mfano elimu bure haimaanishi mtoto ale chakula cha mchana shuleni kitakacholetwa na serikali.Hiyo haipo, bali ni lazima mzazi achangie ili mwane ale chakula mchana shuleni. Je, wazazi wenye watoto hapo shuleni wote ni wakulima?
Elimu bure haimaanishi mtoto akiugua akatibiwe bure huko hospitali(ipo tofauti kidogo sana kati ya shule za Day na zile za Boarding lakini at the end of the day Mzazi unawajibika kwa matibabu ya mwanao.
Yapo masuala muhimu ambatishi ambayo ni lazima yawepo ili kumwezesha mwanao aipate hiyo inayoitwa Elimu bure. Ni sharti mwanao aketi darasani (i.e awe na cha kukalia-dawati) ni lazima mwanao ale chakula ni lazima mwanao awekewe ulinzi kwa shule za bweni (mzazi achangie malipo ya mlinzi) n.k. n.k. Hakuna hicho kitu cha BURE 100%.
OK. Kwa sasa hivi Serikali imejitahidi kiasi kwamba walau kila Kata inayo shule ya Sekondari. Huko kwenye mashule ni mara nyingi tunasikia masomo fulani e.g. masomo ya sayansi na mathematics (Biology,Chemistry and Physics ) hayana waalimu i.e. watoto hawafundishwi ipasavyo kutokana na ukosefu wa waalimu. Lakini hapo hapo tunasikia waalimu waliohitimu vyuo, baadhi yao ktk.masomo hayo hayo yanayokosa waalimu, hawajaajiriwa na wala hakuna mpango unaoeleweka wa Serikali kuwaajiri. Kinachojitokeza ni wazazi kujipapasa au kujiongeza zaidi na kutafuta waalimu wa Tuition (ni gharama ya hiari hiyo ujue)
Kwa kifupi hicho kinachopigiwa upatu kwamba ni elimu bure, kimebaki kwenye makabrasha ya Serikali lakini in the real sense hakuna elimu bure kwa upande wa Mzazi. Ni sawa na kusema mzigo umetolewa kichwani na sasa upo mabegani.
Hapo usijidai eti umeutua mzigo. Badooo.
 
Nimjibu iweje?. Nimesema nipo hapa kutoa msaada?. Kila mahala nimemuelekeza nijukumu lake kupeleka cv au kutafuta kibarua mahali husika.

Mimi kazi yangu sio kutoa vibarau au kuajiri watu.

Najambo lingine sio Kila anaeomba msaada hapa JF yupo Kwa lengo la kuomba msaada wengine wapo kuchunguza wewe ni nani baada yakuona umeandika taarifa za ukweli juu yameli hizo zilishoshusha mafuta Jana na juzi.

Tatizo mnataka Kila mtu akija humu aje kulia njaa, wengine tushapita huko tulilia njaa sana kipindi tunasoma tulifanya ujasiliamali wakila aina lakini Leo kisa hio degree unayoidharau tupo hapa tulipo Kwa degree hio hio.

Pumbavuuu...unadharau elimu halafu ndugu zako wote wanasoma na huwaambii waache kusoma.

Faraja yako nikusikia Kila aliesoma analia njaa, ukisikia tunakunywa maziwa roho inakutoka nakutamani ungekua wewe kwenye hio nafasi. Pambana sana muda wako ukifika hakuna wakuzuia.

.

Boss mie sio muajiri, peleka cv sehemu husika wakiona unahitajika utaitwa.
Mbona unafoka sana bwashee? Mngetumia usomi wenu kuwaelimisha watu wasiangaike na degree wasomee ujuzi ndio unalipa dunia ya leo.

Kuna mtu ana kozi ya certificate ya miezi minne tu analipwa mshahara wa dollar 50 kwa saa, kwa masaa 10 anakunja dollar 500 kwa siku, huyu ni form leavel aliyejiongeza kozi ya miezi minne mpaka 6 kwenye machine oparating.

Tatizo la wasomi wa Bongo kama mna bifu na watu waliokosa fursa ya kupata elimu ya juu, lakini bado wanao mlango wa kutokea na kuingiza pesa kuliko degree holder.

Mimi kwa exposure niliyonayo leo natamani ningekuwa fundi seremala kuliko taaluma niliyosomea ni ujinga mtupu, shida nyingine wenye taaluma ya useremala hawana connection nilizonazo mimi.
 
Hata mtaani kazi za wakala, maduka n.k degree holders na diploma zipo za kutosha ila ukitafakar kwa mapana utaona kwamba hata wao wangeweza kufungua biashara kama hizo, sasa sijui ni uoga au ni nini.

Mkuu mimi nilianza biashara napata faida laki per month, hapo nimetoka ktk ajira ambayo nilikuwa napokea at least 600k per month.

Namshukuru Mungu kwa sasa najiona kule kwenye ajira nilikuwa nimepoteza sana muda.

All in all, sote tunaamini kuna majira pia ambayo Mungu huwa humuinua mtu.
Uliacha au ulitimuliwa ukaona sio kesi
 
Back
Top Bottom