Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kama uko Dar 120m inamaliza na chenji inabaki.Mkuu kwa nyumba hiyo Hadi Roofing Kwa 120M haiwezekani.
Msingi tu pekee wa hiyo nyumba Si chini ya 50M zingatia bei ya nondo za kusimamisha izo nguzo.
Kuwa serious Mkuu, pengine Ni kweli hii Ni professional yako Ila Kwa hili hapana Aiseeh!