Kama uko Dar 120m inamaliza na chenji inabaki.Mkuu kwa nyumba hiyo Hadi Roofing Kwa 120M haiwezekani.
Msingi tu pekee wa hiyo nyumba Si chini ya 50M zingatia bei ya nondo za kusimamisha izo nguzo.
Kuwa serious Mkuu, pengine Ni kweli hii Ni professional yako Ila Kwa hili hapana Aiseeh!
Inategemea mkuu kupandisha mpaka ifikie hivi Umekaza sanaKama uko Dar 120m inamaliza na chenji inabaki.
Hamna ghorofa Apo,Ni Mnara wa tenki uliochangamka
Nimekuambia ni banda la mbwa wangu chini anapigia misele juu analala wewe vipi mkuu. Una kichwa kizito huelewi?!Hamna ghorofa Apo,Ni Mnara wa tenki uliochangamka
Nimekuambia ni banda la mbwa wangu chini anapigia misele juu analala wewe vipi mkuu. Una kichwa kizito huelewi?!
Dar mkuu wana raha sana kwenye ujenzi maana vitu ni bei nzuri sana. Na kama una pesa yako vifaa unaletewa mpaka site. Saruji tu mfuko mmoja huku kwetu kwa Dar unapata karibia mifuko miwili! Hivyo hivyo na kwenye nondo.Inategemea mkuu kupandisha mpaka ifikie hivi Umekaza sanaView attachment 3125174
GoodCHINI 3BEDROOMS
JUU 2BEDROOMS
SEBULE 2 ,JIKO DINING,STORE AND LAUNDRY
PLOT SIZE 30X30M
ESTIMATED COST MPAKA ROOFING (120M)
CALL/WHATSAP +255624004650
View attachment 3125056
Zingatia neno mpaka roofing, then tofautisha na neno finishing!Hebu rudia tena...
Ghorofa ya vyumba vitano estimated cost to the roof is 120mama...!!!!????? Ama baba...!!??
Sawa vitu bei rahisi, kuna kina wema huku ndugu yangu kama una moyo mwepesi afu ndo unashobokea utaishia kuuliza bei za material tu!Dar mkuu wana raha sana kwenye ujenzi maana vitu ni bei nzuri sana. Na kama una pesa yako vifaa unaletewa mpaka site. Saruji tu mfuko mmoja huku kwetu kwa Dar unapata karibia mifuko miwili! Hivyo hivyo na kwenye nondo.