Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

Wewe ulipata 4.3, mimi nilipata 2.5! Tunafanya kazi moja na mshahara ni mmoja, una kipi cha kujivunia kunizidi kutokana na GPA yako?
 
Huko Serikalini ndio wanaangalia GPA. Huko kwenye taasisi kubwa hawahitaji cheti chako wakati wa kuomba kazi, unaambiwa leta CV na motivation letter tu. Vyeti utavileta wakati umepata kazi
 
Kwakweli jamii forum siku hizi imekuwa sio chuo cha mafunzo Tena,mnapopost mambo Makubwa na Magumu kama haya plz anza na kuandika nini Mana ya hiyo GPa ili na sisi ambao hatukwenda huko chuoni tujue mnazungumzia kitu gani?
#Maendeleo hayana Chama#
 
Usisahau GPA za SUA kuwa kundi moja na UDSM ns MUHAS.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Umeingia uzi usio kuhusu, bhana. Tumesema wenye hizo GPA wao wanajijua.
 
Sababu zako hazina uhalisia Mimi mwenyewe ni above ya hapo na sijawahi fanya hivyo vitu hapo juu
 
Hadithi yako inatufundisha nini πŸ€—
 
Infiriorite kompleksi oni fulikiii..!!
 
Siku zote penda ku achieve the best, kulipwa mshahara haiondoi uhalisia wenye ufaulu mdogo wanakuwa na wivu ndio maana wanahangaika kujulinganisha na vipanga kama vyuo vya kata vinavyohangaika kujulinganisha na udsm
 
Ila GPA sometimes ni za kununua tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Enzi nasoma chuo nilisoma na mzee mmoja mfanyakazi wa SWISSPORT kila semester ana SUP za kutosha ila mwisho wa siku ana GPA ya 4.2 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Wa pili alikuwa mrembo mmoja Mash_Allah kutoka Pemba huyu alikuwa kilaza kupitiliza kama mjuavyo hawa wavisiwani ni weupe sana kichwani (no offense) huyu hadi masomo alikua ana_carry ila mwisho wa siku hakua na karai (C) hata moja.

GPA ain't mean anything zaidi ya uwezo wa kukariri tu
 
Mada kama hizi ni hatari kwa ustawi wa jamii. Huenda rafiki Yako unayemchana alipata GPA kubwa na umemuacha kimaisha pengine wewe unaconnection nyingi au mazingira ya kazi yanawatofautisha. Sio Kila mwenye GPA kubwa au ndogo anaweza au kufeli kote.

Jambo Moja muhimu ni kwa kijana au yeyote anayesoma ni kuwa ukiwa shule tafuta maarifa ya kutosha usiingie na nondo Kwa kuwa maisha ya kazini yanahitaji maarifa zaidi vyeti hutumika siku moja tu unaporipoti kazini na kwa wajasiliamali kinachohitajika ni kuchanganya maarifa ya shule na mtaani. Wanafunzi someni kwa bidii mpate maarifa mengi.
 
Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni.

Hata hao wa bunge wa CCM wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hakuna mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha ni vita.
 
Halafu kuna zile gpa za saut au tumaini university halafu kuna gpa za udsm au muhimbili..


Zipoje hizi mkuu? Ufafanuzi tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…