Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

Nilicho kuja kugundua Kuna watu Wana akili za darasan na Kuna watu Wana akili za maisha....
Gpa Kubwa isibakie kwenye makaratasi iwe na impact
 
Hizi GPA za kukariri, Elimu ya kukariri kuanzia msingi mpaka chuo kikuu....
 
Nilicho kuja kugundua Kuna watu Wana akili za darasan na Kuna watu Wana akili za maisha....
Gpa Kubwa isibakie kwenye makaratasi iwe na impact
Wenye akili nyingi za darasani ndio mabosi ofisi za Serikali na taasisi binafsi za ndani na kimataifa Omba kazi yeyote ya meneja au mkurugenzi Serikalinin au taasisi binafsi au za kimataifa uone kama wanahitaji huyo bwege anayejitia ana akili za maisha sio za darasani
 
Endeleeni kujifariji, na nahisi hata mfumo wa ajira saizi ushakomandiwa kuwachuja mapema, kazi nyingi mfano za hivi karibuni mawakili na vigezo vyote waliojaribu kuapply mfumo ulikuwa unawakatalia.
 
Elimu ni kile kinachobakia baada ya kumaliza kujifunza..,, Na kufanikiwa ni Maujanja tu,,, sio lazima Elimu..
 
Haya ni mawazo ya unyanyapaa. Haishangazi mtaani kwako wanakukoma kujitahidi uonekane wa juu kisa tu una GPA ndogo.
Fanya kazi, heshimu kila mtu bila kujali ana ufaulu gani.
Inawezekana hiyo 3.1 ni ya mchongo.
 
Umenena.
 
Hapo bila huruma ya wanafunzu wa class kwake why asipate Lower second 😅😅😅
 
mbona unanisema kwa mbaali😅😅😅😅😅
 
Nikuulize AKILI ni Nini?

Inategemea una yaangalia maisha katika engo Gani.....

Kua na AKILI sio vyeti....ndio maana Kuna RC morogoro tena ana kisomo Cha Dr alianza kulialia baada ya kutenguliwa....

Mm na washikaji zangu walikua wanatufundisha chemistry, physics, mathematics ila ikija Pepa kweny kile kile walicho nifundisha nawabuluza.....

Kuna mshikaji mwingine duu alikua kinara kwenye Kila kitu chuoni ku prisent, kufundishaa wengine ila alitoka na Gpa 2.2 jamaa ni material I appreciate the guy....
Mimi nilipata Gpa 3.4 nilitaman sana angalau niwe na 3.5
Siku izi maisha yamebadilika sana vyeti tunavyo vipo kabatini na tunafanya kitu tofauti na tulicho soma darasani sina excuse na haya maisha kisa Elimu....

Nikki wa pili aliwai sema wengine House girl pekee ndio anakuita boss...
Sisi wengine tumesha Toka huko kwenye kuajiliwa...

Nakazia tena Kuna AKILI za darasani na AKILI za MAISHA...omba Mungu akupe vyoteee...Omba asikunyime AKILI za MAISHA

Wasalaam,
 
Kujiajiri huhitaji vyeti iwe ndani ya nchi au nje ya nchi

Kupanga ni kuchagua

Unataka kuajiriwa au kujiajiri wewe ndio mwamuzi

Vyeo vya appointment haviangalii elimu lakini sio vya kutegemea sana
 
Nikki wa Pili anaringia vyeo vya appointment vinavyotegemea mteuzi kuwa ni shangazi au bibi yake au mama mkubwa au mdogo Ujinga mtupu

Nampongeza mke wake kuwa best student CPA na kugombaniqa na makampuni kibao ya kimataifa yanayolipa mishahara mikubwa kuliko mkuu wa wilaya Nikki wa Pili au mbunge au jaji au mkuu wa mkoa au Waziri au Raisi
 
Si kweli.
 
Baadhi yetu zile ‘exile’ zili changai sana kutupatia GPA za makarai
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji88]
 
We unasema GPA kuna uncle wangu aliomba kazi standard chartered mda mrefu lakini umepita akaambiwa kama huna C ya math usijisumbue kuomba hyo kazi kwa hyo bora hao wanaongalia GPA wengine wanaangalia matokeo ya kidato cha 4 na 6.
 
Duuh mimi semister ya kwanza tu nna GPA ya 2.5 sijui hadi namaliza wa tatu itakuaje , Lakini kupitia uzi huu lazima nibadirike[emoji848], naanza kuwa na uchu na GPA nzuri.
 
Duuh mimi semister ya kwanza tu nna GPA ya 2.5 sijui hadi namaliza wa tatu itakuaje , Lakini kupitia uzi huu lazima nibadirike[emoji848], naanza kuwa na uchu na GPA nzuri.
Kaza mdogo angu wengine tulilijua Hilo mwaka wa kwanza semister ya pili...Kupambania Gpa inabid uache mambo mengi na uji toe kusoma....wakat mwingine ni luckiness....
Note
Kuna watu Wana Gpa ndogo ila vichwan mwao Wana content la maana na Kuna watu Wana Gpa kubwa ila kwenye content wapo shallow in deep & VICE VERSA IZ TRUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…