Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Bora wee uwape Elimu hiyo lol.
Hawa hata kuwaacha na shemeji ni tatizo kubwa Sana, Maana mmetoka kuna emergency eee bwama Kitunguu baki na mke wangu hapa nakuja mara mojaa, ohhooo usijaribu kwa kina Abdallah kichwa juu akili zisharuka utamkosa mke🤣
 
Mkuu hili sio kwa wanaume tu.
Nimeshuhudia pia ukijenga ukaribu na ke wengi nao wanajua unawataka
Hao sio wanawake wa buza kweli, Ofcz ukaribu inategemea umeuanzishaje,

Nazani ni vyema siku za kwanza muwe mnakutana public areas kwa usalama na kumjengea kwanza Imani ya kukuami.

Kutana nae kuleni lunch, dinner ongeeni mfamiane, Muite kwako ukiwa na mtu mwengine, kwa mfano unaweza kumwambia leo nitakuwa na ndugu yangu au sister tunachek movie karibu,

Sasa mtu hakujui siku ya kwanza unamuita home, Anakuliza upo na nani? Unamwambia nipo peke angu kama hakuamini italeta ukakasi kidogo.

Mualike kwenye familj dinner au lunch 😋 hivi vyote n kujenga uaminifu kwa rafiki wa kike.
 
Hawa hata kuwaacha na shemeji ni tatizo kubwa Sana, Maana mmetoka kuna emergency eee bwama Kitunguu baki na mke wangu hapa nakuja mara mojaa, ohhooo usijaribu kwa kina Abdallah kichwa juu akili zisharuka utamkosa mke[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawakumbuka Suz na Irene tukiwa ghetto mimi nililala katikati yao those days niko kikazi tumbaku ya iringa road morogoro, Irene nilimtaka siku nyingi ikawa inabounce, suz dada mlezi she nursed me when I was sick at some point, those days sebene la nyumbani Park au samaki samaki bima
[emoji3516]
Profesa rikiboy njoo umchukue kijana wako,
Umpeleke kwenye uzi wa taifa.
 
Safi sana mtoa mada
Nlikua nnapatana sana na watoto wa mwenye nyumba enzi hizo walikua wakaka tu Twins wanafananaa kila kitu.
Siku hiyo walinitoa out tukaenda club na marafiki zao club ikaisha tukaenda nyumbn kwa yule rafiki yao wakalala kwwnye kochi mm na twin mmoja tukalala kitandani safi kabisa bila bugudhaa na wote walikua wamelewa kasoro mm situmii kilevi , although niliogopa but sio kwa respect ile waliyonipa
Kwenye hili malezi nayo yanachangia.
Wakati mnaenda kulala na huyo twin mmoja wewe kichwani ulikuwa unawaza nini?, just be sincere!
 
Nauza dawa ya nguvu za kiume mkuu!!!
Umejaa utoto na ushamba.
Huwezi kujigeuza sperm donor ili ulale na kila mwanamke.
Watu wenye akili huwa selective kwa mwanamke amtakaye na sio kula kila anayejilengesha kwako...huu ni ujuha.

Na ikitokea ke akakwambia wazi wazi anakutaka si utafanya sherehe wakati wengine tumeyazoea?

Acha ulimbukeni na kama unahisi nimepungukiwa..niletee demu wako au dadako
 
Hivyo unajirahisisha ili isidharauliwe?
Akinidharau ndio nitapungukiwa?
Haoni kabla hajanidharau nilianza mimi kumuona si kitu?

---ishi maisha yako mkuu na sio watu wakupangie.
Ungemdharau usingemruhusu hata kuja unapokaa
 
Hivyo unajirahisisha ili isidharauliwe?
Akinidharau ndio nitapungukiwa?
Haoni kabla hajanidharau nilianza mimi kumuona si kitu?

---ishi maisha yako mkuu na sio watu wakupangie.
Tafuta kimiminika baridi. Muamala uko njiani
 
Ungemdharau usingemruhusu hata kuja unapokaa
1. Hakuna mahali nimesema kuna kiumbe kaja kwangu.

2. Uhusiano huwa uko kwenye mambo mengi zaidi ya ngono.

Hivyo nikimkaribisha kwangu haimaanishi nimemwita aje tu sex...no.

Kwanza unaanzaje kuleta kila mwanamke kwako na mfanye uasherati...izinzi kwako?
 
Back
Top Bottom