NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
- Thread starter
- #181
Asante mkuu 🏳Kubaka mpaka tumfate,ila yeye kakufuata kwako mwenyewe...anyway mpewe tuzo ya Aman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu 🏳Kubaka mpaka tumfate,ila yeye kakufuata kwako mwenyewe...anyway mpewe tuzo ya Aman
🤣🤣Weka picha ya huyo demu, ukute sura yake ilikuwa inafanana na Meddy Kagere [emoji23][emoji23]
Mkuu hili sio kwa wanaume tu.Wanawake hawako salama sana kukaaa au kuzoeana na wanaume wa kibongo
Hawa hata kuwaacha na shemeji ni tatizo kubwa Sana, Maana mmetoka kuna emergency eee bwama Kitunguu baki na mke wangu hapa nakuja mara mojaa, ohhooo usijaribu kwa kina Abdallah kichwa juu akili zisharuka utamkosa mke🤣Bora wee uwape Elimu hiyo lol.
Nauza dawa ya nguvu za kiume mkuu!!!Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
Hao sio wanawake wa buza kweli, Ofcz ukaribu inategemea umeuanzishaje,Mkuu hili sio kwa wanaume tu.
Nimeshuhudia pia ukijenga ukaribu na ke wengi nao wanajua unawataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa hata kuwaacha na shemeji ni tatizo kubwa Sana, Maana mmetoka kuna emergency eee bwama Kitunguu baki na mke wangu hapa nakuja mara mojaa, ohhooo usijaribu kwa kina Abdallah kichwa juu akili zisharuka utamkosa mke[emoji1787]
Wakumbushe wanaopiga miti wanawake wakiwaita magetoni au nyumba zao bila ya makubaliano pia wanamapungufu ya nguvu za kiume sio wale tunao waacha tu😂Nauza dawa ya nguvu za kiume mkuu!!!
[emoji3516]Nawakumbuka Suz na Irene tukiwa ghetto mimi nililala katikati yao those days niko kikazi tumbaku ya iringa road morogoro, Irene nilimtaka siku nyingi ikawa inabounce, suz dada mlezi she nursed me when I was sick at some point, those days sebene la nyumbani Park au samaki samaki bima
Wakati mnaenda kulala na huyo twin mmoja wewe kichwani ulikuwa unawaza nini?, just be sincere!Safi sana mtoa mada
Nlikua nnapatana sana na watoto wa mwenye nyumba enzi hizo walikua wakaka tu Twins wanafananaa kila kitu.
Siku hiyo walinitoa out tukaenda club na marafiki zao club ikaisha tukaenda nyumbn kwa yule rafiki yao wakalala kwwnye kochi mm na twin mmoja tukalala kitandani safi kabisa bila bugudhaa na wote walikua wamelewa kasoro mm situmii kilevi , although niliogopa but sio kwa respect ile waliyonipa
Kwenye hili malezi nayo yanachangia.
Amigo Wanasema Vuta Kiti Fatilia Mazungumzo.Mada zingine hua mnaleta zina ukakasi sana aiseeeee...[emoji1787]
Sio kweli wanawake wanatofautiana wengine ukiweka ustaarabu anakudharau usikariri maisha mkuuNa kutaka kula kitu kizuri usionyeshe uchu mkuu.
Hii visichana vya kuokoteza...tongoza na kula papo hapo ujue uko chaka na pia hujiheshimu kabisa.
Umejaa utoto na ushamba.Nauza dawa ya nguvu za kiume mkuu!!!
Hivyo unajirahisisha ili isidharauliwe?Sio kweli wanawake wanatofautiana wengine ukiweka ustaarabu anakudharau usikariri maisha mkuu
Sio wote, Inategemeana na mwanamke inabidi uwe akili kumkichwaSio kweli wanawake wanatofautiana wengine ukiweka ustaarabu anakudharau usikariri maisha mkuu
Ungemdharau usingemruhusu hata kuja unapokaaHivyo unajirahisisha ili isidharauliwe?
Akinidharau ndio nitapungukiwa?
Haoni kabla hajanidharau nilianza mimi kumuona si kitu?
---ishi maisha yako mkuu na sio watu wakupangie.
Tafuta kimiminika baridi. Muamala uko njianiHivyo unajirahisisha ili isidharauliwe?
Akinidharau ndio nitapungukiwa?
Haoni kabla hajanidharau nilianza mimi kumuona si kitu?
---ishi maisha yako mkuu na sio watu wakupangie.
Kwani dharau ina limitations?Ungemdharau usingemruhusu hata kuja unapokaa
1. Hakuna mahali nimesema kuna kiumbe kaja kwangu.Ungemdharau usingemruhusu hata kuja unapokaa
Nasema hivi demu akija gheto hatoki labda niwe naumwa nimetundikiwa driip