NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
- Thread starter
- #201
Pengine tunachati na Ponographers1. Hakuna mahali nimesema kuna kiumbe kaja kwangu.
2. Uhusiano huwa uko kwenye mambo mengi zaidi ya ngono.
Hivyo nikimkaribisha kwangu haimaanishi nimemwita aje tu sex...no.
Kwanza unaanzaje kuleta kila mwanamke kwako na mfanye uasherati...izinzi kwako?