Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

1. Hakuna mahali nimesema kuna kiumbe kaja kwangu.

2. Uhusiano huwa uko kwenye mambo mengi zaidi ya ngono.

Hivyo nikimkaribisha kwangu haimaanishi nimemwita aje tu sex...no.

Kwanza unaanzaje kuleta kila mwanamke kwako na mfanye uasherati...izinzi kwako?
Pengine tunachati na Ponographers
 
1. Hakuna mahali nimesema kuna kiumbe kaja kwangu.

2. Uhusiano huwa uko kwenye mambo mengi zaidi ya ngono.

Hivyo nikimkaribisha kwangu haimaanishi nimemwita aje tu sex...no.

Kwanza unaanzaje kuleta kila mwanamke kwako na mfanye uasherati...izinzi kwako?
Mbona unaongea vitu ambavyo ni op jikite kwenye Uzi wa mtoa mada, mambo ya urafiki yanatoka wapi
 
Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.
Nakuona Hunter Unatoa Hekima Zako Za Uwindaji.
 
alafu unajiona mjanja. siku nyingine ukiwa hutaki sex usikubali kwenda kwa mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijioni mjanja wala nini na niliyenaye saa hizi ni mbali na mapenzi ni rafiki/mshikaji wangu ambaye naenda kwake na tunaongea na kufanya vitu vingine kwa sababu wote sio watokaji haswa tunaenjoy zaidi kukaa ndani.Mwisho wa siku unapewa unayefanana nae na mapenzi sio kunyanduana tu
 
Utapata jimbo 2025
 
Back
Top Bottom