Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Una hakika mumeo hakuchukua namba kwaajili ya mawasiliano na watoto wake tarajiwa huko mbele mbele?
 
Huyo mume akikuletea UKIMWI, hayo mambo unayojivunia utayafurahia vipi tena? Kupanga ni kuchagua, zingatia hilo.
 
Maisha gani hayo ya kufurahia mume kupiga mimba ma house girl? Labda kama nawewe unapigisha huko nje unapoenda kwenye safari zako, hapo ngoma "draw" na furaha lazima iwepo tu.
 
Ukiendelea na ujinga wa namna hii wa kutetea ubaradhuli wa mumeo, basi na ataendelea kukupiga matukio hadi uchanganyikiwe zaidi. Kuna siku atapita na mdogo wako kabisa ndio akili itakukaa sawa.
 
Naomba nikujibu kwa herufi kubwa.


DENIAL NI KITU KIBAYA MNO.
UNATAMANI .WENYEWE HIVI NDO UWE UNAJISKIA.
UNATAMANI KWELI HIKI ULICHOANDIKA HAPA NDO KIWE KINACHOTEMBEA AKILINI MWAKO.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
SWEETIE, UNAJIDANGANYA MWENYEWE.
HII FARAJA YA GANZI WALA HAITOKUSAIDIA.
FACT IS INAZIDI KUKUMALIZA.
INAZIDI KUKUVUNJA.


SIKIA NIKWAMBIE.
NEXT 2-5 YRS
HII COMMENT UTATAMANI KUIFUTA KWA DAMU.

NA HAITOFUTIKA.
POLE SANA.
MJADALA KUUFUNGA NI HIYARI YAKO.
NDOA NI YAKO
MUME NI WAKO
MOYO UNAOVUJA DAMU NI WAKO
MARADHI NI YAKO
THREAD NI YAKO
BUNDLE NI LAKO
ID NI YAKO
MAONI TU NDO YETU

ALL THE BEST SWEETIE.
ALL THE BEST.

TUNZA HII COMMENT NA UZURI JF IPO MPK TUICHOKE HII
TRUST ME YOU, UTARUDI HAPA.
FOR NOW,
KEEP THE LION CUB LOVE, IT IS A CAT LIKE ANYWAY!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ pole zako kwanini usichukue wa kuanzia 40 YO?
Ndio wanaume zetu hawa

Nikifikiriaga hivi kuhusu house girl tumbo linakata kabisa
 
Yani yupo kama zombie.
Uzi umejua kuniharibia mood huu
 
Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.

Basi tu huyo wa kwako ni pepo limemuingia, maana hata kama ni tamaa zipo options nyingi tu angeweza kutumia na kuepusha majanga ya mimba. Mfano hata kama anatembea na hao hg anashindwa nn kutumia kinga.? Hata kama hatumii kinga anashindwa nn kutumia njia zingine zzte za kuzuia mimba..?! Maanake yy kila akilala na mwanamke lazima aweke mimba.! Kwani ww anakuzalisha kila mwaka..?
Mpeleke kwenye maombi, na pole sana dada.
 
Hata Ibrahim aliambiwa na Mungu amuondoa kijakazi Hajir alipopata ujauzito wa boss. Sababu hasa ni kuepusha mauaji au migongano
Heheyehehe

Mistari ya kuwakomboa akili hamuitaki.
Ya kuwaaMbia ndoa haivunjiki ila kwa uzinzi wala sio mistari kwenu.
Hii ya kuendelea kuwapa hadhi za Mrs fulani.
Mke wa ndoa.
Mke wa fulani ndo mnaipenda kweli.

Ila deep down your heart unajua unavojeruhika
Unajua unavomchukia Mumeo
Unajua usivyomfurahia tena
Unajua usivyomtamani tena
Unajua usivyohisi kumhitaji kimwili tena
Unajua usivyofika kilele tena
Unajua unavyojichukia
Unajua unajitazama kwenye kioo mara 20 kwa siku kutafuta Kasoro yako kimaumbile.

Unajua love.
Until next time, endelea na hii ganzi unayojipiga akilini.
Siku ukiruhusu kuumia kutoke nje, actually siku chupa yako inayojaza haya matone ya maumivu ikijaa.
Italipuka ,puuuuh.
Yenyewe, na hutakaa ujue nini kilitokea EXCEPT that the damage will be there ,right before your eyes.
Na it will be FATAL.
Trust me.
 
Kweli kabisa. Ila hata yenyewe haijiendeshi. Kwa sasa nafanya kazi mwenyewe tukisaidiana na mr.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah
 
Swala la hg sitaki hata kulisikia lilishanitokea sitaki kurudia kosa kabisa
Heheheh si ulikuwa unajitia nyodo za kuchoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasahivi tunda unatoa bila usumbufu eeh?
Hii tabia ndio inawaponzaga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu acha tu kuna mmoja alikuja kwangu alikuwa modo hatari chuchu mchongoma yani dah shetani ashindwe na alegee yani sijui nisemeje ila dah embu tuyaache
Huyo hata mie ningetafuna tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!
Especially kama unaleta usumbufu nikitaka kula mzigo unaniletea nyodo utaskia story tu. Kuna mabeki 3 watamu sana jamani hasa upate toto la kisukuma. Akishapigwa msasa wa mjini kidogo hatari tupu.
 
Ili kujizuia, ni bora kutafuta ndugu wa kike wa mwanamume kwa ajili ya kusaidia kazi. (hapa sio rahis kumgegeda ndugu yake ingawa pia inawezekana, maana watu washakula dada zao, shangazi na mama wadogo) ila ni afadhali
Hao wanatafunwa vizuri tu labda wawe wanashea ziwa. Ila kama mama tofauti yani wanamiminiwa lava kama kawa πŸ˜‚! Huyo mwamba ni "ki BOLOIKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…