Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Zipo, ila inahitaji umakini mkubwa kwenye utafutaji. Maana unaweza ukadhani umepata 18W fast charger kumbe umeuziwa fake (famba) itakayoweza kuleta athari kwenye simu yako.Ndugu nikitaka ya haraka naipata vipi hapa Kariakoo au hadi niagize?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo, ila inahitaji umakini mkubwa kwenye utafutaji. Maana unaweza ukadhani umepata 18W fast charger kumbe umeuziwa fake (famba) itakayoweza kuleta athari kwenye simu yako.
Hii ni gharama hadi imefika mkononi?Redmi Note 7 4GB RAM, 64GB ROM, Black |TZS 495,849.42
Hata kwenye kuagiza inahitaji umakini pia, ila uwezekano wa kupata fake ni asilimia ndogo sana, kwa vile kuna udhibiti wa bidhaa zote zilizopo sokoni. Cha muhimu angalia zile ambazo ni Top Brands. Hapa nina recommend Ugreen imekidhi viwango vyote vya kimataifa.
Hivi nikitumia 18w 5V/3A F.Charger kwa note 6 pro kuna maajabu yeyote ya simu kuwahi kujaa au hamna maana yeyote kwa vile simu ni 10W 5V/2AHata kwenye kuagiza inahitaji umakini pia, ila uwezekano wa kupata fake ni asilimia ndogo sana, kwa vile kuna udhibiti wa bidhaa zote zilizopo sokoni. Cha muhimu angalia zile ambazo ni Top Brands. Hapa nina recommend Ugreen imekidhi viwango vyote vya kimataifa.
View attachment 1071207View attachment 1071208
Hivi nikitumia 18w 5V/3A F.Charger kwa note 6 pro kuna maajabu yeyote ya simu kuwahi kujaa au hamna maana yeyote kwa vile simu ni 10W 5V/2A
Hawa nao wako vizuri sana,na ndo nayotumia kwa ss.Hivi nikitumia 18w 5V/3A F.Charger kwa note 6 pro kuna maajabu yeyote ya simu kuwahi kujaa au hamna maana yeyote kwa vile simu ni 10W 5V/2A
Itacharge simu vizuri kabisa, lakini ni kwa kile kiwango cha kawaida. Sababu kuna cheap ya ku regulate kiwango cha umeme unaoingia kwenye simu.
Kwanini unataka ku ROOT?Mkuu eti kuna maujanja ya kuroot hii redmi note 7 yangu niliyoagiza majuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
But tambua kuwa ni very risk mkuu.Kucontor simu vile nataka ndugu mfano kudelete apps nisizozitaka n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Site is undergoing maintenance
Site will be available soon. Thank you for your patience!www.androidexplained.com
Chukua muda kuelewa kwanza kabla ya jaribu.
Ukifanikiwa ku root, cha kwanza fanya backup ya hiyo rom yako. Uitunze pembeni ndio uanze kuchokonoa unayoyataka mkuu.
Sent by SangaweJr
Maamuzi mazuri maana ku root kuna faida kama unajua na una hakika na unachotaka kukifanya baada ya simu kuwa ROOTED.Duh basi ndugu nilichonacho kinatosha nisije juta bure
Asante kwa tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mi Naona ni kubwa sana mkononi, iv simu isiyozidi 5", ni model gani ya xiaomi!?ingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi
Sasa wanatecno msishtuke kuona mabadiriko yangu
Hii ndio picha ya mwisho kutumia tecno ona camera ilivyo mbovu
Watumiaji wa tecno poleni sana [emoji3]View attachment 1067610View attachment 1067611View attachment 1067612
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link mkuu.Kwa Bongo hiyo inauzwa TZS 350,000, hiyo bei ya online Aliexpress. Mm niliagiza online.
Global Version Xiaomi Redmi 6A 6 A 2GB 16GB Smartphone 5.45'' Full Screen 12nm Helio A22 Quad Core AI Face 13MP Camera CE FCCNaomba link mkuu.
Usiangalie hizo inch 6 sijui ila inch 6 ya Xiaomi na 6 inch 5.7 ya Note 4 samsung au note 3 hayo madude mengine ni makubwa sana mfano kuna siku nilichukua simu ya rafiki yangu TECNO W5 nikazishika zote ndo nikagundua inch 6.26 ya xiaomi iko very portable kuliko inch 5.5 ya Tecno kiufupi hizi simu kioo ndio kikubwa na maumbo flani hivi yanashikika😂 kamata simu boss au kanunue vi toy vile vi iphone 5s sijui iphone 6 vitakufaa Mheshimiwa maana kwa tecknology sasa hutopata inch 5 kushuka chini.Hii mi Naona ni kubwa sana mkononi, iv simu isiyozidi 5", ni model gani ya xiaomi!?
zimefika ubora wa sauti ni mzuri kabisa ziko poa