Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

So unanishauri niagize ndugu au hata nikiagiza nitawekewa fake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye kuagiza inahitaji umakini pia, ila uwezekano wa kupata fake ni asilimia ndogo sana, kwa vile kuna udhibiti wa bidhaa zote zilizopo sokoni. Cha muhimu angalia zile ambazo ni Top Brands. Hapa nina recommend Ugreen imekidhi viwango vyote vya kimataifa.

IMG-20190414-WA0000.jpeg
IMG-20190414-WA0006.jpeg
 
Hata kwenye kuagiza inahitaji umakini pia, ila uwezekano wa kupata fake ni asilimia ndogo sana, kwa vile kuna udhibiti wa bidhaa zote zilizopo sokoni. Cha muhimu angalia zile ambazo ni Top Brands. Hapa nina recommend Ugreen imekidhi viwango vyote vya kimataifa.

View attachment 1071207View attachment 1071208
Hivi nikitumia 18w 5V/3A F.Charger kwa note 6 pro kuna maajabu yeyote ya simu kuwahi kujaa au hamna maana yeyote kwa vile simu ni 10W 5V/2A
 
Hivi nikitumia 18w 5V/3A F.Charger kwa note 6 pro kuna maajabu yeyote ya simu kuwahi kujaa au hamna maana yeyote kwa vile simu ni 10W 5V/2A

Itacharge simu vizuri kabisa, lakini ni kwa kile kiwango cha kawaida. Sababu kuna cheap ya ku regulate kiwango cha umeme unaoingia kwenye simu.
 
Duh basi ndugu nilichonacho kinatosha nisije juta bure
Asante kwa tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi mazuri maana ku root kuna faida kama unajua na una hakika na unachotaka kukifanya baada ya simu kuwa ROOTED.

Lakini pia kuna hasara ukikosea tu kidogo mambo utakayokuwa unayafanya baada ya simu kuwa ROOTED.

Sent by SangaweJr
 
Hii mi Naona ni kubwa sana mkononi, iv simu isiyozidi 5", ni model gani ya xiaomi!?
Usiangalie hizo inch 6 sijui ila inch 6 ya Xiaomi na 6 inch 5.7 ya Note 4 samsung au note 3 hayo madude mengine ni makubwa sana mfano kuna siku nilichukua simu ya rafiki yangu TECNO W5 nikazishika zote ndo nikagundua inch 6.26 ya xiaomi iko very portable kuliko inch 5.5 ya Tecno kiufupi hizi simu kioo ndio kikubwa na maumbo flani hivi yanashikika😂 kamata simu boss au kanunue vi toy vile vi iphone 5s sijui iphone 6 vitakufaa Mheshimiwa maana kwa tecknology sasa hutopata inch 5 kushuka chini.
 
Back
Top Bottom