Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Pia watu wa Posta/TRA hawazijui hizi simu za kichina so ni rahisi kuweka value ya chini na wasizishtukie,
Nilikuwa na jamaa alikuwa ameagiza Iphone akatozwa kodi Tshs 94,000 while Redmi 7 walinitoza 21,000
 
👆👆 ze kokuyo
 
Angalia expected delivery time, mimi nilinunua ukatumwa tarehe 23/04 expected delivery time ni May 29 - June 18
 
Wakuu cover case zipi ni bora kwa redmi note 7?
Maana hizi za Nillkin naona buyers wanaziponda kuwa ni cheap plastic pia zinatereza sana.
 
Guys nataka kujua box la posta hapa dodoma ambalo naweza kutumia kuagizia bidhaa
 
Nahitaji Battery ya xiaomi mi note pro,mwenye nayo jamani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…