Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nafikiri wanaangalia value yaani kama mzigo umefikia kiasi fulani wakutoze kodi Sema tu sellers wanatusaidia kiaina kwenye invoice ya mzigo husika kwa kuandika bei ya chini tofauti na Ile bei halisi uliyonunulia so why tunapita kulia, ila TRA wakistukia na kuamua kufungua ili wa-valuate wenyewe hapo huchomoki
Pia watu wa Posta/TRA hawazijui hizi simu za kichina so ni rahisi kuweka value ya chini na wasizishtukie,
Nilikuwa na jamaa alikuwa ameagiza Iphone akatozwa kodi Tshs 94,000 while Redmi 7 walinitoza 21,000
 
👆👆 ze kokuyo
 
Nimechoka subiria mzigo doh
Nimeagiza tarehe 27/04/2019, Ukatumwa tarehe 03/05/2019 siku hiyohiyo trackinhmg ikasema " accepted by airline" mpk leo hakuna mabadiliko[emoji3][emoji3][emoji16] ina maana kwenye shirika la ndege wamepokea alafu hawa ship mwezi sasa kasoro siku 3?

Alafu wadau sisikii mkiagiza
Gearbest
Banggood
naona kwa Ali tu. Kuna utofauti?

Tatu ipi fast shipping? Nimekuja gundua kuna

Aliexpress standard shipping
China airmail
Singapore mail
Nk nk
Angalia expected delivery time, mimi nilinunua ukatumwa tarehe 23/04 expected delivery time ni May 29 - June 18
 
Wakuu cover case zipi ni bora kwa redmi note 7?
Maana hizi za Nillkin naona buyers wanaziponda kuwa ni cheap plastic pia zinatereza sana.
1119140
 
Guys nataka kujua box la posta hapa dodoma ambalo naweza kutumia kuagizia bidhaa
 
Back
Top Bottom