Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Pia watu wa Posta/TRA hawazijui hizi simu za kichina so ni rahisi kuweka value ya chini na wasizishtukie,Nafikiri wanaangalia value yaani kama mzigo umefikia kiasi fulani wakutoze kodi Sema tu sellers wanatusaidia kiaina kwenye invoice ya mzigo husika kwa kuandika bei ya chini tofauti na Ile bei halisi uliyonunulia so why tunapita kulia, ila TRA wakistukia na kuamua kufungua ili wa-valuate wenyewe hapo huchomoki
Nilikuwa na jamaa alikuwa ameagiza Iphone akatozwa kodi Tshs 94,000 while Redmi 7 walinitoza 21,000