Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Tayari Msauzy kaweka msimamo wa Fantancy technology kwamba watarudi kwenye mchaka mchaka 12/02/2019 so hata ukifanya malipo now yanapokelewa ila kuship parcel mpaka tarehe 12 FebruaryBora huyo kafupisha maana seller wengine ni full kujirusha
Hii tabia ya kununua simu kwa kuangalia shape ni mbaya Sana. Kwa nini usitafute simu nzuri na brand inajulikana? Niwe mkweli tu hiyo brand siwezi kutumia.
Bado uko na msimamo wako huu huu?Hii tabia ya kununua simu kwa kuangalia shape ni mbaya Sana. Kwa nini usitafute simu nzuri na brand inajulikana? Niwe mkweli tu hiyo brand siwezi kutumia.
Bado nipo na Samsung yangu na nikiichoka hii j7 naenda level ya juu zaidi. Brand ileile "SAMSUNG"Bado uko na msimamo wako huu huu?
We komaa hukohuko na huku upawezi kweli Mkuu tehBado nipo na Samsung yangu na nikiichoka hii j7 naenda level ya juu zaidi. Brand ileile "SAMSUNG"
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri mkuu, xiaomi ni level zingine, sio tecno kisa umeona inatoka china.Bado nipo na Samsung yangu na nikiichoka hii j7 naenda level ya juu zaidi. Brand ileile "SAMSUNG"
Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaom ndo simu janja kwa SasaBado nipo na Samsung yangu na nikiichoka hii j7 naenda level ya juu zaidi. Brand ileile "SAMSUNG"
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tukupe ujaribu kutumia,... Utaachana na J7 yako siku hiyo hiyo [emoji4][emoji4]Bado nipo na Samsung yangu na nikiichoka hii j7 naenda level ya juu zaidi. Brand ileile "SAMSUNG"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hatari fireeee hahah samsung midrange ana tatizo lake la not registered in network na tatizo lake lingine la kupoteza Imei no. Huku haya mambo hakuna mueleweshe vizuri mkuu unatoa simu kwenye usafiri kama sare vile hata ukiibiwa ni ngumu mwizi kujiongeza kuijua Brand ya simu na kujifanya yake.Inabidi tukupe ujaribu kutumia,... Utaachana na J7 yako siku hiyo hiyo [emoji4][emoji4]
View attachment 1009357View attachment 1009358
Inategemea unataka simu yenye sifa zipi mkuu zipo zq under 150$ na zipo above 150$ ni wewe tu mfuko wako.
Mnyama hatari Sana huyoInabidi tukupe ujaribu kutumia,... Utaachana na J7 yako siku hiyo hiyo [emoji4][emoji4]
View attachment 1009357View attachment 1009358
Xiaomi Mi 8 out of the box, ndio nimejua hakuna haja ya kumiliki Samsung. Kwanza bei ni cheap uki compare na flagship nyingi zenye uwezo sawa na hii, pia camera yake hata Samsung galaxy S 9 anakalishwa.Hahah hatari fireeee hahah samsung midrange ana tatizo lake la not registered in network na tatizo lake lingine la kupoteza Imei no. Huku haya mambo hakuna mueleweshe vizuri mkuu unatoa simu kwenye usafiri kama sare vile hata ukiibiwa ni ngumu mwizi kujiongeza kuijua Brand ya simu na kujifanya yake.
Mia ngapi inasoma hadi Dsm kabla sijaenda AliExpressXiaomi Mi 8 out of the box, ndio nimejua hakuna haja ya kumiliki Samsung. Kwanza bei ni cheap uki compare na flagship nyingi zenye uwezo sawa na hii, pia camera yake hata Samsung galaxy S 9 anakalishwa.
View attachment 1010589
Hiyo nilichukua US$ 387 ilikuwa kwenye winter sale, kwa sasa unaipata kwa US$ 400Mia ngapi inasoma hadi Dsm kabla sijaenda AliExpress
Huyu aliyeandika haya unaweza kuta ana li-Samsung au li-iPhone lake ambalo halina tofauti na fridge kwamba ukilitoa kwenye umeme nusu saa tu limezima au ukikutana naye ukam-search humkosi kabeba charge,power bank mbili kwamba moja ikiisha faster achomeke nyengine wakati hii iliyoisha ikichajiwa tena.
battery inaweza kuchukua muda gani kwa matumizi ya kawaidaHuyu aliyeandika haya unaweza kuta ana li-Samsung au li-iPhone lake ambalo halina tofauti na fridge kwamba ukilitoa kwenye umeme nusu saa tu limezima au ukikutana naye ukam-search humkosi kabeba charge,power bank mbili kwamba moja ikiisha faster achomeke nyengine wakati hii iliyoisha ikichajiwa tena.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa technologies vipi mtu unashindwa kutafuta kitu kipya,ladha mpya?kila siku kuna watu wanavumbua vitu vipya kuwazidi wale waliobuni hivi vinavyotumika sasa ila watu wameishia ku-kopy tu yale yale waliyofanya wengine kutafuta vyao hawataki.
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama haya ila baada ya kujaribu sasa nimekuwa sichaji simu kwa lazima nachaji pale ninapoamua kiasi sikumbuki ni lini simu yangu imepiga alarm kuwa battery iko low,data sizimi muda wote ninaokuwa idle nacheza na simu pia nipo tofauti na wengine,camera nzuri etc.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kwa matumizi ya kawaida yaani data on full time,ile unaingia mtandaoni unatoka unaingia unatoka unachat unasikiliza music unapokea simu pamoja na kufanya mawili matatu unayoyafanya kwenye simu matumizi yangu ni zaidi ya masaa 23.