Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaom wanajua nini wanakifanya sijawahi juta tumia hii brand kuna watu wanataka tu exchange na simu zao lakini nikiangalia sper za simu zao hazifikii na yangu,
1.duall app [emoji3591]hii inanifanya niweke app mbili mbili
2.app lock [emoji3591] hii inanifanya niwekee security app zangu zote hata atakaeshika asifungue nisipotaka
3. First and second space hapa ndipo waliponiloga simu mbili kwa moja first ikiwa haishirikiani na second labda ram na rom, wale wa michepuko hii inawafaa sana mkeo hatajua kwenye second space
4. Data sio lazima uzime ukiwa hutumii data inajizima ukitumia inawaka.
5.update zote zinaondoa matatizo yaliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
xiaomi aina gani unatumia mkuu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu majohe kona hapo #4 unafanya fanyaje mzee?
Kwa niaba yake,... Fungua Security app, chagua kwenye battery, chagua alama ya setting upande wa juu kona ya kulia, chagua on "Turn off mobile data when screen is locked" weka muda unaotaka screen kuwa locked. Kisha data ya simu itazima moja kwa moja hata unaposahau kufanya hivyo.
 
ALIE ANZISHA HUU UZI NDIE ALIFANYA NIIJUE HII BRAND YA XIAOMI. SINCE HAPO SIJAWAHI KUJUTA WALA KUMSUMBUA Chief-Mkwawa Simu imetulia nilianza na Mi A1 kuna jamaa akafika bei now namiliki Note 6 Pro.
Hakika. Huyu ngosha (mtani wangu), aliyeanzisha huu uzi amewafanya wengi waifahamu hii brand, anstahili pongezi,...
 

Pia una uwezo wa ku set simu ijizime muda gani na ijiwashe muda gani. Kwa mfano simu yangu ikifika sa 6:15 usiku inajizima na kujiwasha saa 11:30 alfajiri. Ikijiwasha inapiga alarm kwa ajili ya mimi kujiandaa kwenda job.

Sehemu nyingine niliyopenda kwa xiaomi ni upande wa sms, huwa naandila sms alafu naset ikifika muda flani ndipo sms itumwe. Huwa nikiamka asubuhi naandika sms ya Asubuhi Njema, Mchana Mwema na usiku mwema alafu kila sms naset muda wake na ikifika muda huo sms zinaenda. Inanisaidia hata pale ninapokuwa kuwa busy basi sms zinakuwa zimejiset kwa muda huo maaluum. Zile kelele vidada kusema umenisusa au uko busy sana kwangu zimepungua
 
Tatizo bei
Bado TECNO ataendelea kukimbiza kwa Africa
Kwa Asia yupo HUAWEI
 
Tatizo bei
Bado TECNO ataendelea kukimbiza kwa Africa
Kwa Asia yupo HUAWEI
Mbona Xiaomi zipo nyingi za bei nafuu tu! Tatizo tumekariri kwamba,... Kila kitu kizuri ni cha bei ghali. Mbona hizo Tecno zipo hadi za laki sita!? Utasema ni bei nafuu!?,... Hapo kwenye kigezo cha bei nakupinga mkuu. Tatizo letu wa TZ wengi hatuna uelewa wa electronic gadgets, huwa tunanua kile kinacho patikana kiurahisi bila kuangalia ubora wa bidhaa.

Sent from my HTC U11 using Tapatalk
 
Nilichojifunza watz tunanunua kitu kilichopo tz tecno ndio zipo kila kona pia gharama ya Tecno ni kubwa sana mfano kuna best yangu alinunua tecno yenye RAM 3GB ROM 16 kwa 380k wakati online kuna mediatek za mpaka 260k zenye spel kubwa kuliko hiyo ya Tecno. Tecno zinamatatizo kibao hata ingekuwa na RAM 10GB bado matatizo hayaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya sms ebu nipe darasa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…