Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
kuna bizaa hapa kiafrika azija shika makert kutona soko lake kubwa lipo njee kwa grade ya juu mfano meizu,one plus,honnor,xiomi n.k ingia gsm arena ndio utajua hivi vikampuni itel na techno vilikuja hapa afrika kutafuta mtaji mpaka vilipo tupa vitu vibovu leo ndo wana toa simu.lakini hazitambuliki
 
f70020312a3e57d25b14dfc76831331e.jpg

Nina enjoy tu!
 
Watu wananunua simu kwa mazoea ya brand zao pendwa ila xiaomi ni habari nyingine,kuna jamaa yetu kazini anandugu yake huko Dubai kila jamaa wako launch mzigo inachukua a nakuja kuuza huku Bongo,kuna moja nimetoka sasa hivi kachukua mshikaji kama week imepita ,intern yake 120gb,ram 4,processor 2.5quadcore bila kusahau camera yake inachuka video za slow motion
Halafu kuna product za Lenovo nazo ni hatari,lenovo vibe,lenovo zuk z1 natumia Mimi huwezi nitoa humu Bonge LA simu muonekano kama iPhone 6 ..hawa jamaa wa xiaomi soko lao wametarget huko duniani kwa hyo quality yao sio kichina kama tulivozoea
 
Kuna simu nzuri sana ila bongo wamezoea tecno tu wakati kuna honor lenovo 1plus xiaom nk ambazo tecno na ndugu zake itel infinix hazifikii ubora hata robo
 
Watu wananunua simu kwa mazoea ya brand zao pendwa ila xiaomi ni habari nyingine,kuna jamaa yetu kazini anandugu yake huko Dubai kila jamaa wako launch mzigo inachukua a nakuja kuuza huku Bongo,kuna moja nimetoka sasa hivi kachukua mshikaji kama week imepita ,intern yake 120gb,ram 4,processor 2.5quadcore bila kusahau camera yake inachuka video za slow motion
Halafu kuna product za Lenovo nazo ni hatari,lenovo vibe,lenovo zuk z1 natumia Mimi huwezi nitoa humu Bonge LA simu muonekano kama iPhone 6 ..hawa jamaa wa xiaomi soko lao wametarget huko duniani kwa hyo quality yao sio kichina kama tulivozoea
Kweli mkuu hawa jamaa wako vizuri kwa bidhaa zao zote.
1533d279d35ed00557e6f327099560bd.jpg

d8682dd9dca630a4b2c75b66a13ab129.jpg

518e2a76f26c238515ae68b59cba888d.jpg
 
Back
Top Bottom