Watu wananunua simu kwa mazoea ya brand zao pendwa ila xiaomi ni habari nyingine,kuna jamaa yetu kazini anandugu yake huko Dubai kila jamaa wako launch mzigo inachukua a nakuja kuuza huku Bongo,kuna moja nimetoka sasa hivi kachukua mshikaji kama week imepita ,intern yake 120gb,ram 4,processor 2.5quadcore bila kusahau camera yake inachuka video za slow motion
Halafu kuna product za Lenovo nazo ni hatari,lenovo vibe,lenovo zuk z1 natumia Mimi huwezi nitoa humu Bonge LA simu muonekano kama iPhone 6 ..hawa jamaa wa xiaomi soko lao wametarget huko duniani kwa hyo quality yao sio kichina kama tulivozoea