Kama vile kweli unawaonea Watanganyika wenzako huruma kumbe udini tu umejaa fuvu la bichwa lako kubwa kama tikiti maji.Naamini sasa hivi hawawezi kuua tena,sasa watajeruhi na kuwaweka watu korokoroni
Ila yote hayo sio mambo mazuri,maana polisi sio picnic kwamba utainjoy
Basi punguza mihemuko na ukae chini ufikiri uhalisia wa kile unachoandika.Nimeshakunywa uji wa ulezi safi kabisa
Katika andiko langu umeona mihemko yoyote?Basi punguza mihemuko na ukae chini ufikiri uhalisia wa kile unachoandika.
Watu tumebeba vichwa mabegani , si midomo tu ya "ndiyo mkuu"
Nawaonea huruma ndio maana mara nyingi mimi na wenzangu huwa tuna watahadharisha kuepuka maamuzi ya hasira ambayo yamewagharimu tar 29 Oct na msipo angalia yatawagharimu tena D25Kama vile kweli unawaonea Watanganyika wenzako huruma kumbe udini tu umejaa fuvu la bichwa lako kubwa kama tikiti maji.
Kiuhalisia wewe ni mwajiriwa unayefaidika na uozo tunao uona.Katika andiko langu umeona mihemko yoyote?
Toka hapa sheikh ubwabwa wa bakwata umeshindwa kukemea utekaji, mauaji ya kiholela, ufisadi na upendeleo umebaki unapambana na wanaopinga hayo.Nawaonea huruma ndio maana mara nyingi mimi na wenzangu huwa tuna watahadharisha kuepuka maamuzi ya hasira ambayo yamewagharimu tar 29 Oct na msipo angalia yatawagharimu tena D25
kama ni ndugu zetu mbna waliua ndugu zao sasa had majumban?Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda
Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao
Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
Mdude, Ali Kibao, Soka, Ben Saanane, Lissu, Polepole na walipigwa risasi kwa maelfu October 29 ilikuwa ni Wanyarwanda??Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda
Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao
Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
Wewe ulikuwa wapi kukemea hayo,kwahiyo sisi kuamua kukemea haya ndio kosa?Toka hapa sheikh ubwabwa wa bakwata umeshindwa kukemea utekaji, mauaji ya kiholela, ufisadi na upendeleo umebaki unapambana na wanaopinga hayo.
anaehamasisha fujo ni Kalamu kaingia mtumbwi wa vibwengoView attachment 3519333
My people,
Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao
Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka
Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati yao hiyo,kwani watapuuzwa na kudharauliwa kabisa,kwa maana hakuna mtu atakaye waapa kipaumbele tena
Ikumbukwe vile vile kuna wafanya fujo na waharibu amani ya nchi hii wanafaili lao huko korokoroni walipo sekwa kwa mara ya mwisho,hawa wakikutwa tena wanaleta vurugu na fujo kwa mara pili,wataonekana ndio vinara wa machafuko na mwisho wao utakuwa mbaya
Kwahiyo kwa kifupi hawa wafanya fujo na waleta vurugu wa nchi hii wamejikuta kwenye mode ya ukisimama nchale na ukikaa nchale
Kwa upande mwingine tofauti na siku za nyuma ambazo tumezoea kuwaona wana usalama mapema mabarabarani na kwenye vituo vya mwendo kasi,hivi Sasa hali ni tofauti,mpaka asubuhi hii naandika huu uzi sijawaona hawa wadau
Huenda wameona hakuna tishio la hawa wapuuzi,ndio maana this time hawaja lichukulia hili jambo very seriously
Au wanakuja na mpango ambao utawashangaza wale wote ambao watajifanya kichwa ngumu na kujaribu kutia ngoko zao barabarani
Tufanye subira muda ni mwalimu mzuri sana, vijana mmebakiwa na siku mbili tu,leo na kesho kufanya maamuzi sahihi,maamuzi ambayo yatakuokoa wewe dhidi ya matatizo pamoja na kuiweka familia yako mbali na matatizo
Maisha yenyewe haya ni magumu,halafu badala ya ndugu zako kupambana na kuongeza uchumi wao,wewe ulivyo mpuuzi unataka wahangaike kukutibia au kukutoa selo
Grow up young men, epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo,okoa kiwiliwili chako na okoa uhai wako
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wasalaam,
Ni hayo tu!
Mimi nipo private sector,kwahiyo kila anayetoa maoni yake usifikiri yupo serikalini au ccm au mfaidika wa loloteKiuhalisia wewe ni mwajiriwa unayefaidika na uozo tunao uona.
Mimi nilikuwa mwana CCM mpaka tarehe 29 Oktoba, na nilyoyaona yanasikitisha na kutia kinyaa kwa uongozi uliopo .
Mtu mwenye akili kuandika ulivyoandika ni kuukataa ukweli kwa vifedha mnavyopewa, ambavyo ni haramu.
Huwa napenda sana watu ambao mnatoa hoja kutokana na hali halisi,so wengine wanamnasibisha mtoa mada na ccm or serikali kisa tu wana maoni tofautiPia ni aibu kwa selikali kukaza fuvu ilihari wanajua wapo pale kwa nguvu ya mtutu na sio kura za wananchi.
Mda utasema.
Damu si mlimwaga?
Hapo sawa madamNitafanya hivyo
Bilashaka nawe upo ungejuaje kama sio mhusikaNje ya mada, hivi kwa nini nyie machawa mnaliwa nyuma na Abdul?
Umeshangaa kuona kuna watu tunajua siri zenu... kumer la mama akoBilashaka nawe upo ungejuaje kama sio mhusika
Huu mchezo hauhitaji hasira,njia moja wapo ya kujua huyu mtu ni mdhaifu ni kushindwa kuhimili hasira zakeUmeshangaa kuona kuna watu tunajua siri zenu... kumer la mama ako
Ila hatuna uhuru kuandamana!Yeye ana uhuru wa kutoa maoni yake na sisi pia tuna uhuru wa kutoa maoni yetu
Unapinduliwa kinyeo na akina Abdul, uanaume tuachie sisi wapambanaji!... hakuna kuremba lugha,, we ni shoga unapasuliwa nyuma..Huu mchezo hauhitaji hasira,njia moja wapo ya kujua huyu mtu ni mdhaifu ni kushindwa kuhimili hasira zake
Kuwa strong emotionally ndio uje kujadiliana na wanaume