Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #41
Timiza wajibu kwanza kisha ndio udai hakiIla hatuna uhuru kuandamana!
Tangu lini kuandamana adhabu yake iwe kifo?
Ipo siku utafikiwa na kama unabisha muulize sheikh Mwaipopo!
Maliza matusi yote bwana mdogo,kisha kesho ukaandamane wakufyatue kiunoUnapinduliwa kinyeo na akina Abdul, uanaume tuachie sisi wapambanaji!... hakuna kuremba lugha,, we ni shoga unapasuliwa nyuma..
Usipofuata Sheria uuwawe?Timiza wajibu kwanza kisha ndio udai haki
Unataka maandamano basi fuata taratibu na sheria
Nitafikiwa na nini,mimi ndio niliagiza operation ifanyike?Usipofuata Sheria uuwawe?
Sisi wenzio tumelia lakini nakuapia Kuna siku utafikiwa.
Endelea kujipongeza!
Peleka ujinga huko!Maliza matusi yote bwana mdogo,kisha kesho ukaandamane wakufyatue kiuno
Niamini Mimi!Nitafikiwa na nini,mimi ndio niliagiza operation ifanyike?
Umesikia nafurahia yaliyotokea?
Mkuu usikatae, uko payroll!!Mimi nipo private sector,kwahiyo kila anayetoa maoni yake usifikiri yupo serikalini au ccm au mfaidika wa lolote
Tunafanya kilicho sahihi that's all, believe it or not
Mbona tarehe 9 Dec hakuna aliyepigwa risasiMdude, Ali Kibao, Soka, Ben Saanane, Lissu, Polepole na walipigwa risasi kwa maelfu October 29 ilikuwa ni Wanyarwanda??
Kalamu kazi yake ni moja tu; kukataa utwana katika suraa zake zote.anaehamasisha fujo ni Kalamu kaingia mtumbwi wa vibwengo
huyu ndo mleta fujo namba mojaKalamu kazi yake ni moja tu; kukataa utwana katika suraa zake zote.
Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia waTanzania kukataa upuuzi huo kwa kila njia yoyote itumikayo kuueneza. Kuwaua waTanzania anakofanya Samia na Genge lake hakutawafanya waTanzania wakubali utwana; badala yake watapambana na hao wanaoueneza. Hakuna shaka yoyote nani atakuwa mshindi katika hili.
Mfugo kama ulivyo wewe, inanilazimu nikukumbushe kila mara juu ya hili hata kama unajifariji tu kwa sasa kwa kuwa unafikiri mitutu ya bunduki ipo kila mara kumlinda mtu dharimu kabisa kama huyu Samia Suluhu Hassan, na mifugo yake ya nguruwe, kama wewe.