Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Tumia sufuria zitoo hili litatunza joto utaendelea kuiva hata kama ushautoa maji yalipokauka.

Pika kama kawaida

Weka maji kiasi tu na ukitokota ukafumua mfumiko punguza moto.

Ukikauka hata uushushe, utaivia chini.

Usiugeuze katu mwa mwii🙅‍♂️. We ni kuweka hesabu zako vizuri af unatulia unasoma meseji tu JF. Utageuza unapokaribia kushusha/kupakua
 
man ukiona shida sana fanya hivi nnavyokuelekeza.. na si kwa jiko la gesi tuu hata ukitaka kupika kwa moto wa Hita.

Chambua osha kisha loweka kwa dk 3 au 5 chuikua mchele wako weka ndani ya mfuko wa plastk usiopitisha maji.. weka chimvi na mafuta funga mfuko wako vizuri.

ukiwasha jiko bandika sufuria la maji tumbikiza mfuko wako ndani kaa dk 10 wali tayari.
 
[emoji2297][emoji2357][emoji15]
 
Back
Top Bottom