Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Nije pm?Rabeka shangazi😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nije pm?Rabeka shangazi😍😍
Hii kauli yako ni Fikirishi sanaWali wa kuni mtamu
Kuna nini shangazi?Nije pm?
Kuna binamu anatak salamKuna nini shangazi?
Hujambo😄Kuna binamu anatak salam
Au wa mkaa tena ule unabanika na mkaa kwa juu 👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽Wali wa kuni mtamu
Cjambo ,nmekumiss,,😚Hujambo😄
Allaaaaaah😍😍😍😘Cjambo ,nmekumiss,,😚
Hapana. nimeanza kutumia gesi kupikia wali toka Nipo chuo , just usimtumie Moto mwingi au tafuta dem akupikie .
man ukiona shida sana fanya hivi nnavyokuelekeza.. na si kwa jiko la gesi tuu hata ukitaka kupika kwa moto wa Hita.
Chambua osha kisha loweka kwa dk 3 au 5 chuikua mchele wako weka ndani ya mfuko wa plastk usiopitisha maji.. weka chimvi na mafuta funga mfuko wako vizuri.
ukiwasha jiko bandika sufuria la maji tumbikiza mfuko wako ndani kaa dk 10 wali tayari.
Testi ati yua ouni riski..!![emoji2297][emoji2357][emoji15]
Aliyempa ushauri wa kutafuta demu ataka kumwingiza chaka. Mademu wengi wa kizazi hiki wana namba za muuza chipsHa ha ha, atafute demu tena?