Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

Ukiweza kutokua mdini jua umestaarabika sana..dini ya mtu yeyote kwako sawa tu hata abuudu mawe au wanyama atajua yeye wewe fanya mambo yako sijui aende akanywe kikombe kwa Babu wewe endelea tu na mambo zako ..
Ebu angalia hawa wanavyojadili mambo hayawahusu😅😅😀... Mwisho wa siku watu maarufa kama wachezaji ,wanamziki ,vipaji vyote vikubwa ndio wanakula pesa na wanasiasa.

Hata ukianza kuangalia kwa dini zao utaona ni dini fulani ndio inatawala..Ila haina maana kuwa kila kitu unaangalia kwa upande wa dini maisha yanaenda mtu yuko bussy kuangalia dini ya mtu.....

Kama wasomi jamii kuna nn hapa Tz hata hao wasomi tangu uhuru hawana tija,wengi uwezo ndio ule ule huwezi kufananisha na nchi kama china.
 
Mboni kama hoja yako inakuwa illogical broo?

Kwamba mwalimu Mkristo anaenda kusahihisha mtihani wa Kiislam?yeye anajuaje kama jibu fulani ni sahihi au siyo sahihi?unajua kwa hoja kama hizi hadi mtu anaweza kuwa na shaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo?
Ki kawaida msahihishaji hatoi majibu kichwani bali anapewa majibu so analingalisha ulichojibu na jibu alilopewa vipo sawa, ingawa sikubaliani na huyo jamaa
 
sawa
 
Hope hukubaliani nae alipoonyesha shaka kwamba mitihani ya watahiniwa wa kiislam husahihishwa na walimu wa kikristo.

Vingine nimekuelewa.
 
Huyo utabishana nae tu kwa vile wale ile kitu ya kujipata ila tangu uhuru hao wanafaulu mpaka wanakuwa maprofessor hamna jipya...Anataka kuleta mjadala hapa ila siri zinajulikana kuanza kuchuja wanafunzi tena wako radhi wafanye mtihani wachache wale wanaofeli wanawafukuza.
Sitajikita sana kwenye mjadala wa kuhusisha hayo matokeo na imani ya dini. Ila nitajikita zaidi hapo kwenye maelezo yako ya ...kuchuja wanafunzi tena wako radhi wafanye mtihani wachache wale wanaofeli wanawafukuza. Mwisho wa kunukuu.✍️

Kwa upande wangu, nadhani mchujo kwa wanafunzi ni kitu muhimu sana. Maana siyo watoto wote wana kipaji cha kusoma mpaka chuo kikuu. Wengine wanahitaji tu kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ili wakapambane mtaani. Na ndiyo maana kuna Mwanazuoni wa Kigiriki aliamua kuwaweka wanafunzi katika makundi matatu;

Kundi la wanafunzi wenye akili sana -The Golden Boys, kundi la wanafunzi wenye akili za kati - The Silver Boys, na kundi la vilaza - The Iron Boys. Na katika hali ya kustaajabisha, hayo makundi yote matatu huwa yanategemeana katika jamii.
 
Ndio mkuu ,wakisema wachuje wanafunzi itakuwa haina maana yaani taasisi ya dini ibague wanafunzi ,kama serikali yenyewe inachagua wale vipanga kupeleka shule zao kubwa....Hao wengine uwezo wa kati na mdogo lazima wapate elimu ,kila mtu avune mwisho wa siku ndio maana ya kusoma.

Shule za dini hazitakiwi kubagua wanafunzi, ni wazi kabisa hata serikali inabagua kwa kutenga shule za vipanga ...
 
Nadhani watakuwa wameelewa sasa.
 
Sasa hazitakiwi kubagua kwa sababu gani, na wakati nimekutolea mpaka mfano hai!! Kama ulikuwa hufahamu, Kanisa Katoliki kwa mfano; lina shule za mchujo! Lina shule ambazo hazina mchujo! Na pia lina vyuo mbalimbali vya kati vya VETA, na ambavyo havihitaji elimu kubwa kwa mwanafunzi kudahiliwa.

Kwa hiyo sijaona mantiki ya kutaka kumlazimisha mwanafunzi asiye na uwezo kusoma kwenye hizo shule zenye wanafunzi wapambanaji, kama wafanyavyo serikali kwenye shule zake za Kata kote nchini.
 
Necta wanatumia namba majina wanakuja kuweka mwishoni
Hadi mtendaji Mkuu wa NECTA mwislamu swala Tano Sasa hizo shule za kiislamu watafute uongo mwingine wa kumwambia huyo Swala Tano mkuu wa NECTA Sababu ya shule zao za kiislamu kufanya vibaya kwenye matokeo ya NECTA ni Nini?

Mimi binafsi kwenye swala la Elimu hakuna matapeli wasio na aibu ya dini kutapeli waislamu Wenzao kama wanaomiliki shule zinazoitwa za kiislamu.Wanajua kabisa uwezo hawana shule hata walimu hamna wakiwepo wa kuokoteza tu malipo ubabaishaji mtupu lakini hulaghai Kwa kutumia dini kuwa Lete mwanao apate Elimu Bora iliyowekewa mkazo kwenye dini tukufu ya Mtume mtukufu Mohamed

Wazazi waislamu hupagawa na kusema lazima mtoto akasome hapo pale swala kuanzia walimu Hadi wanafunzi wote Wana sigda usoni kwa kudujudu

Matokeo yake ndiko kufeli huko wakihojiwa utasikia Allah ndio mtoa riziki kubwa kubwa na ndogo ndogo Twafundisha sie ila Mwisho wa siku Allah ndie hutoa matokeo
 
Mtu yeyote anayehamishia jukumu kwa mungu wake badala ya kutumia akili huwa namuona hamnazo.
 
Hongera zao ziko chache sana za hivyo lakini nyingi haziwatendei Haki waislamu Kwa kueadanganya kuwa Za seminary za kiislamu wakati mbovu kama Nini

Hatujasema zote ila nyingi sio za kupeleka mtoto Kabisa
.
 
Sasa hazitakiwi kubagua kwa sababu gani, na wakati nimekutolea mpaka mfano hai!! Kama ulikuwa hufahamu, Kanisa Katoliki kwa mfano; lina shule za mchujo! Lina shule ambazo hazina mchujo! Na pia lina vyuo mbalimbali vya kati vya VETA, na ambavyo havihitaji elimu kubwa kwa mwanafunzi kudahiliwa.

Kwa hiyo sijaona mantiki ya kutaka kumlazimisha mwanafunzi asiye na uwezo kusoma kwenye hizo shule zenye wanafunzi wapambanaji, kama wafanyavyo serikali kwenye shule zake za Kata kote nchini.
Sasa ndio nakuambia shule nyingine watu wote wanasoma , haijalishi patakuwa na zero ngapi kwa vile elimu ni kwa wote
..Elimu ni huduma ambayo ni lazima kwa kila binadamu
.. Kufeli na kufaulu ni kwa mtu binadamu..

Huwezi kubagua mtu hata kama hatosoma shule hizo za vipaji ila lazima akasome sehemu nyingine hata walemavu wana haki ya kupata elimu.

Serikali ikifanya mchujo huo inaweza kutenga shule za vipaji ila wale wengine lazima wasome shule nyingine za kata ,kikubwa watu wamalize hata wazazi wanajua huyo mtoto tangu form kichwani hamna ila ana haki ya kusoma na kumaliza..
Ina maana ukisema vipaji maalumu hata hao wakristo asilimia kubwa sio vipaji maaalumu ...Umenielewa? Hata wewe hukusoma shule hizo kwa vile sio kipaji ungefanya mchujo usingepita!

Hizo taasisi zinafanya biashara kufaulisha ni promotion ila serikali inatoa...Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu hiyo ndio tofauti..
 
Hizi Madrasa watoto waende mara moja Kwa wiki tena iwe jumamosi au jumapili, kuna mchango mkubwa Sana wa Madrasa na matokeo haya.

Huo ni ukweli..waislamu wengi ukiwaambia hili wanaona unaidharau dini

Mtoto wa shule ya msingi hawezi kushika mawili ndani ya siku moja. Hii itamsaidia kufanya home work zake vizuri
 
Back
Top Bottom